Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaudanganya umma kuwa uko happy, lakini ukiisoma post yako vizuri kuna malalamiko ya wewe kutotimiza ndoto zako na unaona kama unacheleweshwa, na ndio sababu ya hii comment yako, don't fool yourself and your audience, huna furaha wala Amani kwa nafsi yako na unakoelekea na ndoa yenyewe ipo mashakani.Habari wapendwa,
Naomba kwa wale wanandoa mnisaidie hapa kama ni kawaida kwa wanandoa ama ni nini? Namshukuru Mungu tulipata kuoana na mume wangu, kweli maisha ni mazuri tunafurahia ndoa yetu na watoto wetu pia.
Namshukuru Mungu pia amenipa mume ambaye sio mlevi wala mpenda starehe yaani inshort hela hachezei anafanyia vitu vya maana sana.
Kuna wakati tulifungua joint account ilivyofika kiwango tulikuwa tunataka tukakubaliana akazitoa na akafanyia kazi nzuri sana kwa uaminifu. Na pia mara nyingi nikiwa na hela ambazo najua sizitumii kwa muda huo nampa anafanyia biashara zake baadaye nikihitaji anazirudisha.
Kabla na baada pia ya kuolewa nina ndoto nyingi za mimi kufikia level fulani na nilimshirikisha pia na akalifurahia.
Sasa tatizo linakuja kwamba kweli mpaka leo karibia miaka minne sasa hakuna kitu nimefanya katika kuachieve ndoto zangu, nimepiga kihatua kidogo sana, hela naweka akiba inafikia kabisa kiasi nataka kutimiza malengo yangu but najikuta tu nimempa mume wangu bila yeye kuniambia nimsaidie.
Yaani niko hivi sipendi kuona mume wangu hana amani au akiwaza wapi apate hela au akiniambia hasara aliyopata katika business muda mwingine nachukua card yangu ya bank naenda kutoa hela zote nampa kwa kumwambia hii hela siko na kazi nayo na naona niweke huko kwa business yako so zitumie tu kule usirudishe. (But lengo langu ni kutaka tu ajisikie vizuri pamoja na hasara aliyoipata hela nyingine imekuja) na ukimpa anapeleka pale kwa uaminifu kabisa.
Hela ya matumizi akinipa kweli namrudishia sijui kwanini but naona tu kwanini nichukue hela wakati mahitaji madogomadogo ya nyumbani naweza toa hela na vile bado hatujaanza kusomesha so mahitaji sio mengi si bora hiyo hela aendelee kuizungusha kwa biashara.
Basi naona tu hivyo na nakuwa na amani. Weekend hii ilikuwa nikachukue frame ya kufanyia kabiashara kangu (hili hata sikumwambia kwamba nimeshapata frame) but juzi akaniambia habari ya kiwanja alichokiona mjini sehemu nzuri sana na kina title na alipokuwa anaongea anaonesha kabisa kwamba we real need that land.
Hakuniambia toa hela wala nini but mimi mwenyewe nikamwambia niko na pesa nikaenda bank nimetoa hela zote hadi za mtaji wa biashara yangu ninayofanya online nimempa. Nimebakiwa tu na 100k za kuniweka hadi mwisho wa mwezi nianze upya kusave .
Wapendwa jamani hii ni kwangu tu ama ni kwa wanandoa wote? Sifanyi chochote kuachieve my dreams but niko na amani sana ndani ya moyo wangu kwasababu my husband is so happy napenda tu kumwona ana furaha sitaki kabisa apate stress kisa hela au kisa mambo yake hayaendi vizuri.
Namuombea sana na pale naweza kutoa pesa natoa sana na pale pa kumencourage namuencourage sana na kwa mimi hakuna kitu mimi nimejifanyia and am happy.hii itakuwa ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
namuonahahahahhahahhhahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhaaaaaaaaaa umetisher shoga! hahaa dah leo mie had kichwa kinauma miss chagga ndg yako mwingine huyu hapaa
wanaume wa dar walivyo wanapenda kuhudumiwa wamekupongeza balaaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo mwanaume anakutumia na ameshakua tegemezi kwako siku ukija kushtuka its too late. Haiwezekan mapenzi kuwa one sided relationship, mapenzi its give and take, kwahyo kama wewe siku zote ndo unatoa tuu jua imeshakula kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
demiMimi pia nampa mke wangu pesa yote. Sometimes natoa pesa hata 500k namuwekea tu kwenye dressing table yake. SIPENDI kuombwa matumizi kila wakati. Napenda kumalizana nae kabsaaa. Hata pesa za miradi ya maendeleo anaweka kwenye acc yake. Niko rafu sana kwenye matumizi ya pesa lakini yeye ndio kiboko yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe huna familia. Na kama unayo na unaipenda utakuwa unesha weka mikakati ya kuwalinda. Hakuna mtu atakuja kuchukua hata sent tano nikifa. Mali zote nazotaka ziwe za familia yangu zimesajiliwa kwa jina langu na mke wangu. So hakuna jina la mjomba kwenye mali zangu atachukua vipiAcha ujinga wewe tengeneza dream zako, jamaa aki-dead( japo sikuombei) ndugu watavipurusa vyote afu hutajiona mjinga. Mwache mwanaume apambane mwenyewe