Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

Kiukwel nakuona kama unatabia ya mke wangu japo yy ankila akiamka anawaza maendeleo ya familia na wala cyo yake nivizur sana kuwa na malengo yako lakin mshirikishe mwambie ba flan au au flan saiv naitaji namm saiv kufanya kile nilicho kuambia naomba sapot yako anajua atakusapot
Siri yeyote katka ndoa ni hadui mkubwa sana
Ebu jifikirie akija kujua kuwa ww kunavitu unafanya siri wakati yy kila mladi ana kushirikisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sioni taabu kumsaidia mume akikwama, ila huu usaidizi wako mmh....yaani mbingu zinakusubiri wewe tu ili zifungwe utuache wenzio tunaangamia motoni....
 
Jamaa unampa unampa tena sasa mbona hatusui? Hasara anapata yeye tu kila siku inabidi akueleze hasara inakujaje
 
Hee!! Kwani wee umeona ana furaha? Kumpa mwenzio hela zote ukapata amani halafu ukaenda kumtafutia zingine hakuna tofauti na kusumbuliwa na kiu ya bia. Ukinywa bia barrriidi ndo unapata amani. Sasa kupata amani baada ya kuridhisha hisia zako za "emptiness" hakufanyi jambo hilo kuwa sahihi. Ndo maana huyu anaona kuna jambo haliko sawa. Ushauri wangu wake ni kuwa ndoa inahusu kujitoa ila kwa hekima. Naye amshirikishe mumewe maono yake kisha afanye kile anachotaka kukifanya. Akiendelea na hali hii kuna siku atachoka kwani kiu ya kufanya kusudi lako la maisha ikianza kukuandama halafu ukawa unashindwa kuitimiza inaweza kukufanya ukapoteza mwelekeo ukaona kila kitu hakina thamani hata ndoa na fedha. Maadam ameanza kujihoji basi wakati ndio huu. Asisubiri mgogoro wa nafsi ukawa mkubwa. Ndoa ni mahali pa kukulia, siyo pa kufia kimwili, kiakili, kiroho n.k
 
So
Sasa kama una amani kiasi hiki unajisjuku

Kwa hiyo lengo lako na furaha yako ni kuona mumeo anatimiza malengo yake. Unajichanganya na kunichanganya. Huku unasema ndoto zako hujazitimiza na ukikaribia kutimiza unakatiza unampa mumeo ili atimize za kwake kwa kuwa unajisikia vibaya kuona hana hela. Mwe!! Kwanza tu kukomba akiba yote na kumpa mume ni kosa hata mbele za Mungu. Unahatarisha usalama wa familia kifedha na kumdekeza mumeo. Hiyo anayofanya ni biashara kwa hiyo akakope saccos au benki. Na kitendo cha kukataa kupokea hela ya matumizi anayokupa mume wako ni insubordination na mauaji ya uanaume wa mume wako. Huyo ameumbwa kuwa provider na ndo maana anasukumwa kukupa hata kama anajua unazo. Sasa wewe hiyo huruma sijui kutokujitambua itakuja kukuletea shida. Mwache atoe. Pokea. Kama huzihitaji kafungue akaunti isiyo na makato uwekee watoto wako. Tchaa! Hela unapewa ya matumizi hupokei mume anabaki nayo na bado anaishiwa unamnyanyua!! Ngumu kumesa hii!!
 
na kwa mimi hakuna kitu mimi nimejifanyia and am happy.hii itakuwa ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]

Nadhani ulitaka kusema "na kwa mimi hakuna kitu nimejifanyia and am NOT happy...". Nobody questions happiness because hapiness (feelings of satisfaction) is the ultimate end of everything we do. There is a void in you, may be some feelings of unworthiness that is trying to seek approval from your husband? I dont know but "hii itakuwa ni nini?" calls for serious reflection and review of meaning of life to you.
 

Afadhali umenielewa nilikuwa nikujibu kule lakini nichogundua ulikuwa hujamfuatilia vizuri Emoj, Now umenielewa Mkuu.. Mungu Akubariki
 
na kwa mimi hakuna kitu mimi nimejifanyia and am happy.hii itakuwa ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app

Nadhani ulitaka kusema "na kwa mimi hakuna kitu nimejifanyia and am NOT happy...". Nobody questions happiness because hapiness (feelings of satisfaction) is the ultimate end of everything we do. There is a void in you, may be some feelings of unworthiness that is trying to seek approval from your husband? I dont know but "hii itakuwa ni nini?" calls for serious reflection and review of meaning of life to you.[/QUOTE]
Mkuu Huyu Mdau yeye anajishangaa kwanini Yupo Tofauti na Wanaake Wengine, Hivyo Ndivyo Tatile ya Uzi huu ilivyokuwa kabla haijabadirishwa. Na Siyo Kwamba hana Amani wala ila anajiona exceptional kwa anavyojitoa kwa Mumewe? Na siyo Kwamba Mumewe anamuomba Mkewe hela zake ila Wakiwa kwenye kikao cha familia Mumewe anamshirikisha Mipango anayotarajia kuifanya, na Mke anaona Positive achievement mbele kwa from there anavotiwa kumpa support mumewe ili kufikia pale ambapo amepaazimia na hiyo hupelekea kuacha hata kile Mke alikuwa amekipanga kukifanya na kuinject helka kwenye Mpango wa Mumewe? Na Kizuri Kwa Mumewe amekuwa anamrudishia hela alizomkopesha lakini Mke anaona hapana ziweke kwenye mzunguko Tuy..

Sasa hiyo Hali anajiona yupoo exceptional na Wengi walio Humu.
 

Hongera nami nimejifunza nikipata wangu nampa
 
Endelea hivyo hivyo dada, lakini bora usitoe siri za furaha yenu kwenye mitandao ya kijamii, unaweza kuhusudiwa, wewe na mumewako endeleeni kuinjoi tu, lakini usiwaambie watu kuhusu uzuri wa maisha yenu ya nyumbani... Kuna watu wabaya duniani wanaweza kukuharibieni maisha yenu. Kumsaidia mume wako ni wajibu kwako, kama uwezo unao.
 
I bet jamaa hana kibamia na anabiga shoo za kitambi si KWA upendo huo
 
Nimemtafuta wa namna hiyo lakini bado sijampata. Una mdogo wako nilete mahari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…