Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Watu na raha zao buana. Wa hivyo sijui wanapatikana wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu na raha zao buana. Wa hivyo sijui wanapatikana wapi
True sayngoja tuwasubiri wanandoa, but katika ndoa siku zote kumbuka hapo mnatimiza ndoto zenu pamoja ogopa sana kuwaza kuwa ww ndoto zako hazimii wakati hiyo miladi anayofanya mmeo ni ya familia.
Hee!! Kwani wee umeona ana furaha? Kumpa mwenzio hela zote ukapata amani halafu ukaenda kumtafutia zingine hakuna tofauti na kusumbuliwa na kiu ya bia. Ukinywa bia barrriidi ndo unapata amani. Sasa kupata amani baada ya kuridhisha hisia zako za "emptiness" hakufanyi jambo hilo kuwa sahihi. Ndo maana huyu anaona kuna jambo haliko sawa. Ushauri wangu wake ni kuwa ndoa inahusu kujitoa ila kwa hekima. Naye amshirikishe mumewe maono yake kisha afanye kile anachotaka kukifanya. Akiendelea na hali hii kuna siku atachoka kwani kiu ya kufanya kusudi lako la maisha ikianza kukuandama halafu ukawa unashindwa kuitimiza inaweza kukufanya ukapoteza mwelekeo ukaona kila kitu hakina thamani hata ndoa na fedha. Maadam ameanza kujihoji basi wakati ndio huu. Asisubiri mgogoro wa nafsi ukawa mkubwa. Ndoa ni mahali pa kukulia, siyo pa kufia kimwili, kiakili, kiroho n.kPambafu sana , Nakuhakikishia utakachoshauliwa Humu kinaenbdela kubadilisha furaha ya Maisha yako kuanzia Muda huu.. Unaishi Vizuri na Mume wako una mpenda na mnashirikiana na unayafanya hayo bila kushinikishinikizwa wala ndugu wa mume au ndugu wa kwenu hawawasumbui leo hii Unakuja kwenye Kundi ambalo limejaa watu waliojichokea na Maisha ukitegemea utapata ushauri Mzuri..
Nakuhakikishia kati ya wanawake 10 humu wengi watakuona hayawani na kuanzia utakapoa tekeleza ushauri wao basi jua ndio Mwanzo wa kuikosa Furaha ya ndoa yako.
Humu usilete Furaha ya Ndoa leta Matatzio ya ndoa ambayo unahitaji Msaada.
Hapa ndipo nimethibitisha kuwa Mwanamke Mjinga huivunja ndoa Yake kwa Mikono yake Mwenyewe.
Narudia na siyo Lazima uchukue au uyafanyie chochote matamshi yangu ila Trust Me., as From today unaenda Kuharibu Ndoa yako....
Akili Unazo!
Sasa kama una amani kiasi hiki unajisjukuMpendwa nimekuelewa vizuri ila naomba tu utambue kwamba hizi hela nampa mume wangu sizijutii na sijawahi kujutia kumpa na Mungu shahidi ninampa kwa moyo mmoja na ndani yangu nina amani.unaposema kumchoka mume wangu sijawahi kuwaza na sintakuja kumchoka inshort naonaga Mungu kanipendelea sana kunipa yeye.he is such a blessing to my life .kwenye maisha naamini katika amani na sio kitu kingine chochote hata kama hatuna kitu but as long as kuna amani mimi ndo kitu kikubwa kwangu.Hakuwahi nikosesha amani.pakiwa na shida mahali tunaweka sawa kwa upendo .yeye Ndio chanzo cha amani yangu ndo maana sitaki kabisa akose amani niko tayari kufanya kila ninaweza arelax.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpendwa sio kwamba hanishiki mkono.kweli anatoa hela na ananipa ushauri but sipokei hela namshawishi sana hadi ananielewa pesa anarudisha kwenye mzunguko wa biashara zake.Na nakuwa na amani.yaani ni kwamba napenda sana yuko pale juu natamani sana.maisha yetu sio kiivyo so we still have a long way to go.akiongeaga tu kwamba mke wangu tumwombe Mungu tuwe smwhere mwaka fulani ndo nataka ifikie pale .nataka ile picha ya maisha anayotamani tuyaishi yatimie.Me ndio furaha yangu kuona tu anatimiza malengo yake
Sent using Jamii Forums mobile app
So
Sasa kama una amani kiasi hiki unajisjuku
Kwa hiyo lengo lako na furaha yako ni kuona mumeo anatimiza malengo yake. Unajichanganya na kunichanganya. Huku unasema ndoto zako hujazitimiza na ukikaribia kutimiza unakatiza unampa mumeo ili atimize za kwake kwa kuwa unajisikia vibaya kuona hana hela. Mwe!! Kwanza tu kukomba akiba yote na kumpa mume ni kosa hata mbele za Mungu. Unahatarisha usalama wa familia kifedha na kumdekeza mumeo. Hiyo anayofanya ni biashara kwa hiyo akakope saccos au benki. Na kitendo cha kukataa kupokea hela ya matumizi anayokupa mume wako ni insubordination na mauaji ya uanaume wa mume wako. Huyo ameumbwa kuwa provider na ndo maana anasukumwa kukupa hata kama anajua unazo. Sasa wewe hiyo huruma sijui kutokujitambua itakuja kukuletea shida. Mwache atoe. Pokea. Kama huzihitaji kafungue akaunti isiyo na makato uwekee watoto wako. Tchaa! Hela unapewa ya matumizi hupokei mume anabaki nayo na bado anaishiwa unamnyanyua!! Ngumu kumesa hii!!
na kwa mimi hakuna kitu mimi nimejifanyia and am happy.hii itakuwa ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wapendwa,
Naomba kwa wale wanandoa mnisaidie hapa kama ni kawaida kwa wanandoa ama ni nini? Namshukuru Mungu tulipata kuoana na mume wangu, kweli maisha ni mazuri tunafurahia ndoa yetu na watoto wetu pia.
Namshukuru Mungu pia amenipa mume ambaye sio mlevi wala mpenda starehe yaani inshort hela hachezei anafanyia vitu vya maana sana.
Kuna wakati tulifungua joint account ilivyofika kiwango tulikuwa tunataka tukakubaliana akazitoa na akafanyia kazi nzuri sana kwa uaminifu. Na pia mara nyingi nikiwa na hela ambazo najua sizitumii kwa muda huo nampa anafanyia biashara zake baadaye nikihitaji anazirudisha.
Kabla na baada pia ya kuolewa nina ndoto nyingi za mimi kufikia level fulani na nilimshirikisha pia na akalifurahia.
Sasa tatizo linakuja kwamba kweli mpaka leo karibia miaka minne sasa hakuna kitu nimefanya katika kuachieve ndoto zangu, nimepiga kihatua kidogo sana, hela naweka akiba inafikia kabisa kiasi nataka kutimiza malengo yangu but najikuta tu nimempa mume wangu bila yeye kuniambia nimsaidie.
Yaani niko hivi sipendi kuona mume wangu hana amani au akiwaza wapi apate hela au akiniambia hasara aliyopata katika business muda mwingine nachukua card yangu ya bank naenda kutoa hela zote nampa kwa kumwambia hii hela siko na kazi nayo na naona niweke huko kwa business yako so zitumie tu kule usirudishe. (But lengo langu ni kutaka tu ajisikie vizuri pamoja na hasara aliyoipata hela nyingine imekuja) na ukimpa anapeleka pale kwa uaminifu kabisa.
Hela ya matumizi akinipa kweli namrudishia sijui kwanini but naona tu kwanini nichukue hela wakati mahitaji madogomadogo ya nyumbani naweza toa hela na vile bado hatujaanza kusomesha so mahitaji sio mengi si bora hiyo hela aendelee kuizungusha kwa biashara.
Basi naona tu hivyo na nakuwa na amani. Weekend hii ilikuwa nikachukue frame ya kufanyia kabiashara kangu (hili hata sikumwambia kwamba nimeshapata frame) but juzi akaniambia habari ya kiwanja alichokiona mjini sehemu nzuri sana na kina title na alipokuwa anaongea anaonesha kabisa kwamba we real need that land.
Hakuniambia toa hela wala nini but mimi mwenyewe nikamwambia niko na pesa nikaenda bank nimetoa hela zote hadi za mtaji wa biashara yangu ninayofanya online nimempa. Nimebakiwa tu na 100k za kuniweka hadi mwisho wa mwezi nianze upya kusave .
Wapendwa jamani hii ni kwangu tu ama ni kwa wanandoa wote? Sifanyi chochote kuachieve my dreams but niko na amani sana ndani ya moyo wangu kwasababu my husband is so happy napenda tu kumwona ana furaha sitaki kabisa apate stress kisa hela au kisa mambo yake hayaendi vizuri.
Namuombea sana na pale naweza kutoa pesa natoa sana na pale pa kumencourage namuencourage sana na kwa mimi hakuna kitu mimi nimejifanyia and am happy.hii itakuwa ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea hivyo hivyo dada, lakini bora usitoe siri za furaha yenu kwenye mitandao ya kijamii, unaweza kuhusudiwa, wewe na mumewako endeleeni kuinjoi tu, lakini usiwaambie watu kuhusu uzuri wa maisha yenu ya nyumbani... Kuna watu wabaya duniani wanaweza kukuharibieni maisha yenu. Kumsaidia mume wako ni wajibu kwako, kama uwezo unao.Habari wapendwa,