Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

ni vizuri unavyofanya ila usimwendekeze mwanaume wewe unampa au unajibana unatumia pesa zako mwenzio anaonga kwa mchepuko wake tena anampa hela nyingi tu.
 
Mkuu Huyu Mdau yeye anajishangaa kwanini Yupo Tofauti na Wanaake Wengine, Hivyo Ndivyo Tatile ya Uzi huu ilivyokuwa kabla haijabadirishwa. Na Siyo Kwamba hana Amani wala ila anajiona exceptional kwa anavyojitoa kwa Mumewe? Na siyo Kwamba Mumewe anamuomba Mkewe hela zake ila Wakiwa kwenye kikao cha familia Mumewe anamshirikisha Mipango anayotarajia kuifanya, na Mke anaona Positive achievement mbele kwa from there anavotiwa kumpa support mumewe ili kufikia pale ambapo amepaazimia na hiyo hupelekea kuacha hata kile Mke alikuwa amekipanga kukifanya na kuinject helka kwenye Mpango wa Mumewe? Na Kizuri Kwa Mumewe amekuwa anamrudishia hela alizomkopesha lakini Mke anaona hapana ziweke kwenye mzunguko Tuy..

Sasa hiyo Hali anajiona yupoo exceptional na Wengi walio Humu.[/QUOTE]
Amejuaje kuwa yuko exceptional? Hangaiko la moyo ndo limemleta hapa. Mbona swali lake mstari wa mwisho liko wazi? Wewe ungekuwa mshauri wa maswala ya fedha za kifamilia ungekubaliana na hali hii? Hakuna mipaka ya fedha za nyumbani na za biashara? Hakuna umuhimu wa kutunza akiba?
 
Kitu cha muhimu katika maisha ni kuwa na furaha na familia yako, kwahiyo usijishtukie ni Kitu cha kawaida. Mshukuru Mungu ulichonacho utafika tu pale unapotaka kufika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asa long as anafanyia kwa uaminifu katika mipango yenu sioni haja ya wewe kuingiza wasiwasi coz mafanikio/furaha yake ni yako. Upo vizuri, keep it up na Mungu awafunike katika upendo huo mama.... Wewe ni mwanamke bora kati ya wanawake bora

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We acha upuuzi watoto utawasomesha vipi? Ikitokea amefariki ? Kwa taarifa yako hizo pesa unazompa zinakwenda nyumba ndogo !! Kwanini yeye haishiwe tu ?? Hebu amka acha kulala una watoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je na wewe anakutimizia haja zako accordingly km ndivyo haina haja ya kulalama hapa fuata moyo wako unavyotaka kuwa na amani
But hiyo ni out of 10 kw walio kwenye ndoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Hapana nakupinga jambo moja, sifatilii motivation speakers or such things. Its reality from society. She can do all that and still be happy and respectful to their marriage, sidhani kama mume wake anaeza kupunguza uaminifu kwa kumweka mke kama cosigner, kama mke anampa hela zake zote why awe na doubts zozote kumweka popote kampunini? at the end of day, sisi ni binadamu, kesho na kesho kutwa unaanguka unakufa, watoto unawaachaje ukizingatia tumezungukwa na watu wasio na utu tena? Its about security for both parties in case of anything tomorrow, so far mume kashajisismamisha, God Forbid mume huyo haamki moja kwa moja kesho, huyu dada anajua lolote kuendeleZa anachofanya mumewe kwa ajili ya watoto baadae??? You can do all that and be happy still. Sometimes emotions zisi take over akili. Kuwa na upendo wa kweli , na akili pia. To me huyu kapumbazwa na upendo tuuu anasahau kesho yake au kesho ya wanawe kuwa anaweza kuwatengenezea sasa. Unless mpango wake ni awasomeshe tu waje kuajiriwa na watu wengine instead of kampuni iliyoanzisha na baba yao, maybe na mama ‍♀️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…