AiseeSijui
Member
- Jul 24, 2017
- 24
- 29
Aisee! dah! mawazo ytu yanaendana, naona hainahaja y kungoja basi tufanye ushanipataHongera nami nimejifunza nikipata wangu nampa
Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee! dah! mawazo ytu yanaendana, naona hainahaja y kungoja basi tufanye ushanipataHongera nami nimejifunza nikipata wangu nampa
Kirahis hivyoooAisee! dah! mawazo ytu yanaendana, naona hainahaja y kungoja basi tufanye ushanipata
Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
Mkuu Huyu Mdau yeye anajishangaa kwanini Yupo Tofauti na Wanaake Wengine, Hivyo Ndivyo Tatile ya Uzi huu ilivyokuwa kabla haijabadirishwa. Na Siyo Kwamba hana Amani wala ila anajiona exceptional kwa anavyojitoa kwa Mumewe? Na siyo Kwamba Mumewe anamuomba Mkewe hela zake ila Wakiwa kwenye kikao cha familia Mumewe anamshirikisha Mipango anayotarajia kuifanya, na Mke anaona Positive achievement mbele kwa from there anavotiwa kumpa support mumewe ili kufikia pale ambapo amepaazimia na hiyo hupelekea kuacha hata kile Mke alikuwa amekipanga kukifanya na kuinject helka kwenye Mpango wa Mumewe? Na Kizuri Kwa Mumewe amekuwa anamrudishia hela alizomkopesha lakini Mke anaona hapana ziweke kwenye mzunguko Tuy..Nadhani ulitaka kusema "na kwa mimi hakuna kitu nimejifanyia and am NOT happy...". Nobody questions happiness because hapiness (feelings of satisfaction) is the ultimate end of everything we do. There is a void in you, may be some feelings of unworthiness that is trying to seek approval from your husband? I dont know but "hii itakuwa ni nini?" calls for serious reflection and review of meaning of life to you.
Ila wanawake mna vituko,mnatuvizia tumeenda kuoga kukagua nguo tulizovaa jana na waleti. Nawashauri muwe mnaomba,sisi sio wabahili kiasi hicho.Na wakati tunafua tukikuta noti hatusemi.
Sioni taabu kumsaidia mume akikwama, ila huu usaidizi wako mmh....yaani mbingu zinakusubiri wewe tu ili zifungwe utuache wenzio tunaangamia motoni....
abee!
Clueless14: umemshauri vyema pia sana, ingawa naona kama umeingia sana kwenye experience kuliko uhalisia wa alichokieleza, experience ya maisha haina uhusiano wowote na unachohitaji kufanya, ukitumia experience ambazo nyingi zimejaa negativity tu utashindwa kama hao uliowatolea mifano......! Nimegundua kitu kwenye koment yako kwamba unavutiwa sana kuwasikiliza hao wanaojiita motivational/inspirational speakers, hao hiyo ndiyo kazi yao, si vibaya kuwasikiliza lakini ukijisikiliza mwenyewe ni vizuri zaidi.
Kwamfano umemshauri awe signatory au awe na umiliki, real? Sio vibaya hata kidogo lakini huoni kuwa upendo utakuwa umepungua baina yao na kumfanya mumewe aone hamuamini tena? Huo ni mwanzo mzuri wa migogoro kwenye familia nyingi za kibongo.....!!! Huyo dada hana ndoto za kumiliki mali wala kuwa mwanamke wa shoka au mwanamke mwenye nguvu......, according to alichokiandika, ndoto zake ni kuishi kwa furaha na familia yake, na kumuona mumewe akiwa na furaha basi. Kinachompa furaha kwenye maisha yake ni kumpenda mumewe.......lazima utambue kuwa tutafautiana mahitaji yetu kwenye maisha, ispokuwa hawa wendawazimu motivational speakers wana destroy mind zenu na kuondoa upendo ili muishi kwa mawazo yao wao......!!!! Huo ni utumwa pia.......babu na bibi zetu hawakuishi kwa kutegemea kuwa inspired na watu ndo maana wengi wao waliishi maisha yenye furaha na bibi aliyemuuliza mumewe mbona similiki chochote, coz alijua alichonacho mumuwe ni chake pia.......!!!! Be blessed!