Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

Mpendwa huu msemo wa wanaume hawaaminiki asilimia 100 nimeambiwa sanaa but sijabadilika[emoji23]. Tatizo amani yangu.ndio hizo hela nitaziweka but kama amani hakuna ndani yangu nawaza tu future ya mume wangu na amani yake ndo amani yangu nawaza hizi hela nikiweka bila amani itanifaa nini??. Na sio kwamba nampa kila wakati no.Nikupe tu mfano kuna wakati alinunua simu ikakaa siku wiki akaibiwa na alikuwa kama hana amani.nikamwambia tu relax mwaya simu zipo tu.kesho yake nikaenda mnunulia simu ileile.Yaani my dear kama yeye haoneshi utulivu ndani yake na mimi sina utulivu.but nikiona ananiambia mambo yanakwenda vizuri mimi huku ndani nasikia amani hadi nataka kupaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni kweli mkuu nimda wake pia wa kumshirikisha mume wake ndoto zake ili waziunganishe pamoja na kuwa ndoto zao
 
Inapendeza sana...

Kutoa ni moyo wala siyo utajiri...

Hiyo ni tabia nzuri ya kumpend mtu kama unavyijipenda mwenyewe, and as long ni muaminifu na ni kweli anafanya yale mliyokusudia ndiyo maana unaendelea kuwa na imani nae...

Endapo mwanamke atakuwa mwema, mwenye kujitambua na kumshauri yaliyo bora mtu wake.. she becomes a "knife which cuts life"


cc: mahondaw
 
Inaonyesha mumeo ana miradi mingi kuliko wewe na yote umeweka mkono wako hapo. Je miradi hailipi mpaka tena utoe pesa yako kumnunulia simu?
Au biashara zake haziendi vizuri ila za kwako zinaenda?
 
Mtu akioata mwanamke tyoe yako hlf na yeye akawa na akili kidogo tu ya kujiongeza atafanikiwa sana...ukisema kila kwenye maendeleo ya mwnaume kuna mkono wa mwanamke ujue lzm atakuwa type hiyo yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 


hahahha hongera binafs napenda mwnaume anaechanganya akili zaid kuliko mimi! yaan mm ukiona nimekupita tu kimawazo nautaftaj mara nyingi sivutiki na ww! mumeo anakauzito fulan kichwan mwake! yes mzito.. au ndo malez alopewa siju! mie niwe active kuliko mume hapana ! nitasumbuka sana! huyo siku gar itanasa barabaran atashindwa kuitoa atakusibiri weye lolololo!
 
Mzee mama hongera kwa hatua uliyofikia ila muda bado ukifikisha miaka 6 kwenye ndoa mumeo akipata mpinzani wako yaani mchepuko ndiyo utaanza kumuelewa vizuri kwa sasa bado subiria miaka kadhaa....
Mpendwa niliambiwa sana haya maneno but siamini katika NEGATIVE hata siku moja katika maisha yangu .Katika vitu ambavyo napingana navyo ni kuishi kwa kuogopa kesho.hii ndoa ni yangu Mungu kanipa na naamini hadi kifo kitutenganishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio vibaya ni kwa faida ya watoto wao ni vema wanandugu wajue kuwa wana ushirika kwenye mali zao

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli ni faida ya watoto. What about mke ambae ameshirikiana na mume bega kwa bega kuchuma mali?
Bora ajiwekee akiba yake tena ya kutosha, kuna ndugu wa mume ukishakuwa mjane hupati hata senti.
 
Unions hivyo basi ujue mungu Amepanga mafanikio yako yatokane na mafanikio ya biashara ya mumeo?Hongera sana
 
Sijalalamika mpendwa.nataka tu tushare pamoja kama kuna wanandoa walio kama mimi.Pamoja tunajenga

Sent using Jamii Forums mobile app
Inabid basi ubadilike kwasababu,mtu mwenye akili akisoma habari uliyoiandika ,anagundua kwamba wewe uko na ndoto zako toka kabla hujaolewa na hadi sasa hazijabadirika bado unazo na unataka kuzitimiza,huyo mwenzio anakuwa kikwazo ila kwa kuwa unampenda au unamhurumia anasababisha ushindwe kutimiza ndoto zako.Halafu pia,unaonekana kutokuwa na uhakika kama unachofanya ni sahihi maana unahisi kama unakosea.Hujatwambia mwenzio ana ndoto gani lakini yaonekana dhahiri hamna ndoto za aina moja.Nikisoma katikati ya mistari nagundua hata uaminifu unaotaja jamaa yako anao inaonekana ume ufake maana iko wazi ,hauna raha na anachokifanya.Wakati mwingine nahisi kama unatudanganya kwa sababu haiwezekani ,mumeo akianza kusononeka na kudai kapata hasara wewe unampa tu pesa bila kuhoji imekuwaje.Labda siko sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpendwa tuko pamoja.malengo yetu ni ya pamoja maana mwisho wa siku tunataka kuwatengenezea watoto maisha mazuri.pale nilimwambia sizitumii ni vile nilitaka azipokee na asijue kuwa nimempea vile alipata loss.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kama ana amani kabisa na furaha tele hiyo hofu imetokea wapi? Hana amani ndio maana kajiulizaaa hadi kaja kutuuliza na sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…