Emoj
JF-Expert Member
- Oct 9, 2015
- 839
- 1,304
- Thread starter
- #141
Mpendwa huu msemo wa wanaume hawaaminiki asilimia 100 nimeambiwa sanaa but sijabadilika[emoji23]. Tatizo amani yangu.ndio hizo hela nitaziweka but kama amani hakuna ndani yangu nawaza tu future ya mume wangu na amani yake ndo amani yangu nawaza hizi hela nikiweka bila amani itanifaa nini??. Na sio kwamba nampa kila wakati no.Nikupe tu mfano kuna wakati alinunua simu ikakaa siku wiki akaibiwa na alikuwa kama hana amani.nikamwambia tu relax mwaya simu zipo tu.kesho yake nikaenda mnunulia simu ileile.Yaani my dear kama yeye haoneshi utulivu ndani yake na mimi sina utulivu.but nikiona ananiambia mambo yanakwenda vizuri mimi huku ndani nasikia amani hadi nataka kupaa.Kila mwanaume atakuona unachokifanya kipo sawa ila kiukweli kuna kiasi cha kumsaidia mwanaume na sio kwa kiwango kama hicho chako.
Punguza roho nzuri ambapo hatakama utakuwa unampa hakikisha wewe kama wewe una akiba yako ya kutosha na sio ya kusema umpe yote halafu usubiri mwezi ugeuke uanze kuweka upya kuna leo na kesho mumy emoj.
Wanaume sio viumbe wa kuwaamini kwa 100%.
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Sent using Jamii Forums mobile app