Anyisile Obheli
JF-Expert Member
- Dec 13, 2009
- 3,400
- 320
Sipendi kuona Watanzania kazi yao kudanganywa tu!!
Sitaki kuona raisi wetu kazi yake ni kuzurura tu!!
Sipendi kuona maisha ya watu + na watu Tanzania!!
Sipendi kuona Tanzania ikitawaliwa na chama kimoja tu!!
Sipendi tena kimejaa matapeli na wezi wa mali za umma!!
Sipendi watanzania wanajiita wasomi, harafu wametawaliwa kifikra!!
Sipendi kuona raisi anakuwa muoga kuchukua maamuzi mazito!!
Sipendi kuona tena hayo ni kuwawajibisha mafisadi!!
Sipendi kuona wengine wakunywa chai ya Maziwa na Boflo la siagi,!!
Sipendi kuona wengine hawaijui hata rangi ya chai wao kuisikia kwa wengine!!
Sipendi kuona wanayajua matangazo ya hai bora iwe na sukari tu!!
Sipendi kuona chama kilichojaa mafisadi kinaaongoza nchi tena sipendi kabisa!!
Sipendi kuona rais anaongoza nchi kwa majungu!!
Sipendi kuona watanzania hawawezi kusimamia maamuzi na fikra zao!!
Sipendi tena sitaki kuona wasomi wa Tanzania wakitishiwa nyau wanapotoa mawazo yao
Sipendi kuona Tanzania inaliwa na wachache tu,
Sipendi kuona watanzania wao ni ndiyo mzee hata kwenye kuibiwa, sitaki kabisa!!
Sipendi kuona watanzaniawanahongwa pombe na kofia ili kuwachagua wezi!!