Sipendi kuwa na marafiki wengi sababu marafiki ni maadui zako wa baadaye

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Kuwa na marafiki wengi siyo sifa bali unatengeneza ugumu wa kujua adui wako, kikulacho, mfitini na n.k, sababu una marafiki wengi.

Wengine wanaweza kuwa marifiki sababu mbalimbali kwa idadi uliyonayo, ni bora rafiki wasizidi wawili wengine kuwa mnasalimiana tu.

Ukizungukwa na marafiki ni mzigo.
 
Uko sahihi kwa 99.9%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…