We kiboko umenichekesha sana [emoji23] [emoji23] [emoji23][HASHTAG]#Borrowed[/HASHTAG]
Jana nilipanda daladala, basi nikakaa kwenye siti nimejiachia kuchat. Kuna jamaa akawa katoa mimacho anasoma message zangu bila aibu. Yaani waziwazi anafuatilia ninavyo-chat.
Nikaona ngoja nimtie adabu..... Nikaamua nim-text jamaa, "Oyaa Sheikh Sharif! Ngoja niilipue hii daladala muda ushafika".
Yule jamaa akajirusha dirishani. SIPENDI MAMBO YA KIJINGA.
Nimependa avatarHuu msemo umepata mashiko kwa kasi ya ajabu sana yaani siku hizi kila msg mwishoni ni sipendi ujinga mimi