Sipendi misiba

Sipendi misiba

Tatizo watu wengi hawaelewi nini maana ya kifo na huwa hawajiandai. Wengi mnadhani mtaishi tu siku zote mmesahau mda wowote kuna kurudisha folder.

Usiogope kifo, ni hatua moja ya kufikia hatua nyingine.

Sisi ma-Budhist tunaiita Samsara, tunaamini katika life after death (reincarnation) ambayo inakua dertermined na maisha/matendo yako ya sasa (karma).

Ishi maisha mazuri, saidia wasio na uwezo/wenye uhitaji, kuwa na upendo kwa kila mmoja na hapo huna huja ya kuhofia kuhusu kufa au maisha yako baada ya kifo.

Jiandaeni.
 
kwa hio matendo yako yaliyopita yalikuaje mkuu?? mnhhh

mie kusema ukweli nikikumbuka kuna watu wanakufa Muhimbili ama hospitali nyingine na wanazikwa 'kiserikali' naomba tu niwe na mwisho mzuri..
 
Kwa jinsi nilivyo sasa nahisi nilikua na karma nzuri tu ndio maana sasa mambo yangu yapo yechu.

Najitahidi kupalilia karma nzuri tena maisha haya ikiwezekana after life yangu nizaliwe matawini huko niwe hata rais wa nchi fulani.
 
mnhhh mkuu sasa kama wote tukijua Maisha yetu yajayo yanakuwa predetermined na Maisha tunayoishi sasa,kuna ambae atafanya uovu kweli?? uovu unatokea wapi katika jamii??? (assume wote ni ma budhism humu ndani,lol)..nini kinamsukuma mtu afanye uovu akijua ataulipa kwenye Maisha ya baadae...
 
Ndio maana kuna imani tofauti tofauti na mafundisho tofauti dada, sisi ma Budhist ndio imani yetu na mafundisho yetu yanavyotufundisha. Kuhusu hao wengine siyajui mafundisho yao lakini kiujumla jamii ina watu wanaoamini na wasioamini hivyo uovu upo kati yetu, ni kazi ya mtu mmoja mmoja kufuata mafundisha yake kulingana na imani yake.

Maana wengine wanaamini wakiua wasio wafuasi wa imani yao ni baraka kwa muumba wao na watapata zawadi adhimu pindi watakapokutana nae

(no offence)
 
kati yenu mabudhist kuna anayefanya uovu?ningependa kujua
 
Tunaogopa kifo kwakua hatujui huko tunakokwenda. Fikiria kuwe kuzuri na mwisho unajutia muda ulioupoteza duniani.
Kuna principle moja huwa napenda ku apply na pia napenda kushauri mtu afanye ku apply, tenda mema hata kama hujui huko mbeleni kuna nini. Ni heri ukatenda yaliyomema tu hata kama haya unayoaminishwa hayapo haitadhuru.

Imagine umeishi vibaya hapa duniani alafu ukaenda kukutana na hukumu kweli?

Siunaweza kuanza kujuta na kuomba second chance urudi kuja kufanya ibada?
 
Kuna mahali nilisoma kuwa huko mbinguni ni mji na majumba. Umiliki unategemea maisha uliyoishi hapa duniani
 
Kitu cha ajabu hata wasioamini kuwa kuna Mungu, wengi huwa wanatafuta connection na Mungu wakati wa kukata roho.
Labda ile hali ya kuteseka humfanya mtu kuja ku realize kuwa kuna supernatural being ambaye ndio chanzo cha yote, hapo ndipo uwepo wa huyo being nao labda huanza kujidhihirisha kwa namna moja ama nyingine ili kuacha funzo kwa wanaobaki.
 
Kuna mahali nilisoma kuwa huko mbinguni ni mji na majumba. Umiliki unategemea maisha uliyoishi hapa duniani
hayo yote ni mafundisho ya imani tofauti tofauti. Kwa wakristo huamini kwenda mbinguni na kwimbia bwana wao milele na wale waovu wanachomwa moto milele, wengine tunaamini kuwa tutazaliwa baada ya kufa na hali yetu katika maisha hayo inategemea na maisha yetu ya sasa.

Ni imani na mafundisho tofauti ambayo nadhani lengo lake ni moja tu.
 
That’s right katika imani ya Ukristo nilisoma kuwa huko shekeli ni matendo uliyoyatenda duniani na reward inaweza kuwa mansion na servants. Usishangae Bill Gate kuwa servant wa mbwiga flani lakini alikuwa mshika dini ki noma.
 
Hahaha ndio mafundisho na mapokeo hayo sister ila ukiwaza tu nje ya box yote hayo yalitungwa tu ili ku stabilize society.

Imagine tungekuwa tunaishi bila imani wanyama! Tusingekuwa na utu wala hofu.

Hii mada ni pana nikisema niiandikie uzi ni mrefu sana ila sinaga uthubutu wa kuandika nyuzi JF huwa najaribu naona nafeli
 
Ni kweli hii mada ni pana sana. Uchu wa utawala na madaraka vilipelekea vita na miji kutekwa. Watu waliona fahari kuuwana. Medival era ya Ulaya kama ilivyoandikwa na Warumi wanasema sebule za watu mafuvu ya binadamu ilikuwa urembo.

Amri kumi za Musa ndiyo zilileta mabadiliko makubwa.
 
Back
Top Bottom