Sipendi Morning Glory

Joannah

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2020
Posts
20,921
Reaction score
49,014
My people how's weekend?

Yangu iko poa sana, nimechill pande za Kigamboni napata upepo wa bahari.

Sasa mambo yasiwe mengi, natamani kujua mitazamo ya wengine kwenye hili suala linalonichanganya akili, ni hivi.. Kwenye suala zima la kufanya mapenzi binafsi napenda sana kufanya mapenzi kuanzia saa 1900-0200, kinyuma na hapo kwangu najioneaga kero tu, sababu hasa za kupenda mida hii mnakuwa mna energy ya story, kama mnakunywa mmepiga vitu vyenu, mmeoga vizuri yaani ni hearts all over the room..

Sasa basi hamna kitu kinaniudhi mida ya alfajiri nistushwe na kitu kimesimama halafu navutwavutwa kweli huwa nachukia, mida ya alfajiri usingizi ni mtamu mnooo jamani, mswaki hamjapiga, mara hamjaoga aah mi nampa tu huku nimefumba macho bhana atajua yeye😒😒.... wenzangu vipi mnapenda ka morning glory?
 
Iyo ya morning glory utajua mwenyewe. Cha muhumu njoo pm niambie upo kigamboni bichi gani nije Sasa hivi. Maana mpk nakoment hapa huu Uzi una dk 15 tuu so nitakuwahi, mana nipo huku huku kiga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…