Sipendi Morning Glory

Sipendi Morning Glory

Duuh sababu yako kubwa hapo ni
Usingizi
Kunuka mdomo
Na kuoga basi...

Ngoja sima hii
Ngono asubuhi inaweza kusaidia ubongo wako kuwa na nguvu siku nzima na pia kukusaidia kuwa na kumbukumbu hivyo unashauriwa kushiriki kila upatapo nafasi.

Ni mazoezi tosha

Unapofanya ngono asubuhi ni kama unafanya mazoezi kwani kuna kilo na mafuta yanapungua pindi unaposhiriki.

Huongeza kinga ya mwili

Ni vizuri kushiriki tendo la ndoa asubuhi kwani huongeza kinga za mwili sababu wakati wa tendo hilo mwili unazalisha antibodi ya IgA inayosaidia katika ulinzi wa mwili dhidi ya magonjwa.
 
Eeeh Kwa kweli,Cha kwanza kabisa USINGIZI....kumbe Ina faida?na sipendi vile nakosa muda mzuri wa kupumzika!
 
Kabla ya kulala safisheni vinywa vyenu punde baada ya kupata chakula cha jioni. Mtaamka vinywa havitemi.

Siwaingilii, ila saa 1 bado mapema sana. Hata watoto bado wapo macho. Walau muanze saa tatu.

Morning glory isiwe ya kila siku. Iwe za kuwinda.
 
Back
Top Bottom