Sipendi Morning Glory

Sipendi Morning Glory

Kuna namna naanza kutengwa mkuu, wazee tunaonekana hatuna afadhali. Jana namtetea mzee mwenzangu Ushimen nikaonekana na mimi zimeruka kidogo🤣🤣

Ila swala la.morning glory halina mbadala, napenda kitu chukuchuku yani, saa10 alfajiri na lile joto la papa, nikimaliza hapo hakyanani siku itaenda poa sana.
Yaani nilijua tu hii ndio hobbies yako na kupiga vigelegele😁😁😁
 
Back
Top Bottom