Sipendi Morning Glory

Sipendi Morning Glory

My people how's weekend?

Yangu iko poa sana, nimechill pande za Kigamboni napata upepo wa bahari.

Sasa mambo yasiwe mengi, natamani kujua mitazamo ya wengine kwenye hili suala linalonichanganya akili, ni hivi.. Kwenye suala zima la kufanya mapenzi binafsi napenda sana kufanya mapenzi kuanzia saa 1900-0200, kinyuma na hapo kwangu najioneaga kero tu, sababu hasa za kupenda mida hii mnakuwa mna energy ya story, kama mnakunywa mmepiga vitu vyenu, mmeoga vizuri yaani ni hearts all over the room..

Sasa basi hamna kitu kinaniudhi mida ya alfajiri nistushwe na kitu kimesimama halafu navutwavutwa kweli huwa nachukia, mida ya alfajiri usingizi ni mtamu mnooo jamani, mswaki hamjapiga, mara hamjaoga aah mi nampa tu huku nimefumba macho bhana atajua yeye๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’.... wenzangu vipi mnapenda ka morning glory?
Cha Asubuhi
 
Kama usingizi ni mtamu kuliko Morning glory mbona haukupi mimba? ๐Ÿคช
 
Back
Top Bottom