Sipendi niliowaajiri waendelee, yaani wafanikiwe na ku-move on. Napenda wabaki wanyonge hivyo hivyo

Kama huna management nzuri utaumbuka.

Wekeza kwenye technology(Fingerprint attendance,Systems za accounts na management,CCVT camera,Car track,POS etc,)

Hapo utawaweza.
Watanzania au????

Hahahaaa ukiajiri waTanzania usijidanganye kabisa aisee

Inauma ila ndo ukweli na tunaendelea kusaidiana hivyo hivyo tunaajiriana😂😂
 
Dunia inabadilika sana. Invest kwenye teknolojia na weka mifumo mizuri ya usimamizi plus kuwalipa vizuri wafanyakazi vinginevyo utashindwa kuendesha biashara ama kuwa katili kama usemavyo.

Tatizo la uaminifu ni kweli lipo ila linachangiwa pia na namna tunavyoendesha hizi shughuli zetu pamoja na malipo tunayotoa. Boresha mifumo, lipa vizuri, kuwa na utu(wajali wafanyakazi) na wafanye wajione ni sehemu ya kampuni/biashara mnayofanya(appreciate them) utapata matokeo mazuri. I speak from research and personal experience.
 
Ila watz tuna hulka za uvivu na ubabaishaji.
*Naumwa
*Nampeleka mtoto anaumwa
*dadangu kawekwa sero ntawahi kuondoka
*Naomba salary advance baba amelazwa
*Siji kazini kuna mafuriko
*Week hii sitakuwepo naenda kutoa nyuzi
*Mwezi ujao naenda kuhiji Israel.
*Nitachelewa nimekamatwa na traffic
*Boss nimechelewa suruali ilitatuka wakati nagombania basi
*Naomba gari ya kuzikia marehemu
*Tumbo la mp limenizidia siji

Mwisho wa mwaka tunaomba bonus.
 
Mkuu unafkir basi masilah ni makubwa kihivyo..tunagawana umaskin tuu..hakuna chochote...sema waswahili si waelewa na ni wezi na wasaliti
 
Umenielewa vyema..ni bora kufanya nao kaz za mikataba..a delive asepe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…