Sipendi niliowaajiri waendelee, yaani wafanikiwe na ku-move on. Napenda wabaki wanyonge hivyo hivyo

Hapo sawa.
Wafanyakazi wanakera kaka, unaweza ukaua. Mfanyakazi wangu mmoja ashamwambia mteja, "kwani stationery iko moja", mwingine aliletewa kitabu kutoa copy akamwambia mteja "kikubwa sana" na mimi niko ndani.

Bila roho mbaya na ngumu hutoboi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Usiwe mvivu, pitia HR courses hata kwa kujisomea mwenyewe, utaelewa namna ya kumanage human resource.

Vinginevyo utakuwa unahangaika tuu, na biashara ndogo tu ya stationery itakuzeesha, mana utaona inakupa headache.

Zaidi ya yote, kila mtu amepewa uwezo wa kumanage kiasi flan cha pesa. Ukute chako ndo kinaishia hapo hapo kwenye mangi shop.
 
Kama huna management nzuri utaumbuka.

Wekeza kwenye technology(Fingerprint attendance,Systems za accounts na management,CCVT camera,Car track,POS etc,)

Hapo utawaweza.
Zote hizi hazina maana if you have wrong people
 
Tutolee ushetwan wako na roho yako mbaya.
 
Maboss washenzi waswahili nyinyi ngozi nyeusi ni washenzi sana pia
 
Mmmmmh

Kama ni tajiri kuchukia maendeleo ya mwajiri wako hii kitalamu tunasema you have misplaced emotions, yaani upo confused juu ya utendaji wa huu ulimwengu.
Kuna mambo unaweza kontrol kuna mambo huwezi ukitambua hilo litasaidia kwa kiasi kuresolve some of conflict you may face.
 
Kama huna management nzuri utaumbuka.

Wekeza kwenye technology(Fingerprint attendance,Systems za accounts na management,CCVT camera,Car track,POS etc,)

Hapo utawaweza.
Yote hayo hata ukiweza haisaidii kitu kwa kiongozi nyeusi. Yani tuko duniani kukera tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…