Sipendi - Special thread

Sipendi - Special thread

Sipendi mtu anayependa kubishana badala ya kuelekezana.

Sipendi tabia za watu humu jf anakufata pm eti kukupa hi, ya nini?
Sipendi hizi zinajiita team mbwa na team paka kutukanana wakati hata wahusika hawajafikia huko.

Sipendi wanaume wa jf wale ambao hawapendi kabisa changamoto kutoka kwa wanawake wa jf,na ikitokea wanachukulia kama suala binafsi na kuanzisha vita...
 
Sipendi demu anayenambia no sex before marriage, wakati hayuko bikira. Na anaendelea kunipiga mizinga
 
sipendi wanawake wavivu wa mawazo,wanakubali kila wanachoambiwa na wanaume! hawana hoja.
 
,sipendi tabia mtu akianzisha uzi mtu linaangalia tangu ulipojiunga,likes na vinginevyo na mtu kuuliza majina ya watu na selfiee zao wakati ww unatumuia id fake na hafujuani humu....
Sipend mdada au mmama akipost kitu au kukoment unakuta watu kama saba wame kiquote
But akicomment mwanaume hamna atakaye quote labda mmoja

Na sipendi tabia ya mtu kuomba msaada wa mawazo mtu una abusee kama huna cha kuongea si unyamaze au upite kimyaaa

Sipendi tabia, ya mtu kunifuatilia eti anauliza jinsia yangu gani kwani mekuja jiuza ukuuuu

Sipendi mtu aandike SIPENDI nyingi.Hajui kama anamaliza zote za wenzake kuchangia?
 
Sipendi mtu kuuliza na ww Unaoa au Unaolewa lini!!!! kwani mbio za farasi hizo tunakimbilia

Sherehe za familia mnanifanya nisije....
 
mie sipendi tabia za watu kufuatilia fuatilia maisha ya watu!Loh eti yule amezidi kukaa ndani kama utumbo,mlitakaje???akae na nyie vibarazani?huo muda unapatikana sangap??kama upo humu unayefuatilia mtu hakai vibarazan unahoji muwacheee..
 
Siipendi tabia ya watu kukukumba wakati wanataka mchango wako. Mtu hamba mawasiliano toka mmalize shule au chuo hajawahi kukusalimu lakini sasa anataka kuolewa au kuoa ndio anakukumbuka.
siiipendi hii tabia ya watu kutuma sms ya kukuomba mchango.
Siipendi hii tabia iliyozuka sasa hivi ya kuombwa mchango kwa njia ya sms. Yaani sms inaingia kufungua ni ndugu .... anaomba mchango wako ili kufanikisha .....yake.
SIIIPENDI hii tabia ya watu kuomba mchango alafu wamekupangia kiasi cha kutoa.
 
Back
Top Bottom