Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Sipend wanaobisha kuwa Chelsea sio bingwa msimu huu
Sipendi tabia ya mwanaume mnywa pombe alaf akirudi nyumbani usiku haogi, anapanda kitandani hvyo hvyo SIPENDI
Unacheka nn?[emoji3][emoji3][emoji3]