Sipendi - Special thread

Sipendi - Special thread

Mi sipendi tabia ya mtu kuwa na id yake humu hachangii mada yoyote hata kusema "hi" lakini kazi yake kwenda pm za watu kuwatongoza sipendi kabisa hii tabia kama ni wewe badilika!!!!!!!!

Leo nimechangia rubii
 
Last edited by a moderator:
Mi sipendi tabia ya mtu kuwa na id yake humu hachangii mada yoyote hata kusema "hi" lakini kazi yake kwenda pm za watu kuwatongoza sipendi kabisa hii tabia kama ni wewe badilika!!!!!!!!

mwenzagu!! nikajua ni mimi tu nafanyiwa hvi vitimbi
 
Mi sipendi tabia ya mtu kuwa na id yake humu hachangii mada yoyote hata kusema "hi" lakini kazi yake kwenda pm za watu kuwatongoza sipendi kabisa hii tabia kama ni wewe badilika!!!!!!!!

aiiiii........!!
 
Kuna watu wana tabia za ajabu sana. Unakuta mtu anakuja kukulilia shida, anaomba umkope pesa huku akiahidi atarudisha tu mara pesa yake itakapotoka.

Unakubali na pesa unampatia kwa makubaliano kuwa atalipa mara tu pesa yake itakapokuwa tayari. Muda wa kukulipa unafika mara anaanza stori za... Oh unajua najenga.... Pesa nimepeleka kwenye ujenzi... Mara ooh.. Kuna dogo nimemlipia ada.... Mara tena... Oh unajua mama mgonjwa..... Mara nilipata msiba!! Vijisababu kibao ambavyo hata hukutegemea na havikuwa ktk makubaliano yenu.

Matokeo yake sasa, anaanza kulipa pesa kwa mafungu tena kwa mpesa au tigo pesa na makato juu.... Mwishkni unakuta pesa yako yote ni kama umeitoa kafara! Mishoni kiasi kidogo kinabakia kwake na hana uwezo wa kulipa huku akiendelea kuleta vijisababu kibao.

Tubadilikeni jamani. Hizi tabia zina boa sana.

We umekuja kukopa halafu iweje wakati wa kulipa unakija na stori kibao. Lipa pesa ya watu hakuna mtu yupo interested kujua stori zako au matatizo yako! Timiza ahadi kwanza..... Kila mtu ana shida zake. Na ieleweke kuwa mtu akikukopa pesa haina maana kuwa hakuwa na matumizi na pesa hiyo, ila tu ni jambo la huruma na kukuamini.
 
Mi sipendi tabia ya mtu kuwa na id yake humu hachangii mada yoyote hata kusema "hi" lakini kazi yake kwenda pm za watu kuwatongoza sipendi kabisa hii tabia kama ni wewe badilika!!!!!!!!

Sipendi tabia ya kuyaleta jamvini baada ya ku kutongoza pm alafu ukanitosa
 
Watu wanaoacha shughuli zao na kuanza kufatilia ya mwingine.nasema kbsa jamani tabia hii siipendi.maisha yako huyajui unafatilia ya mwenzako.yatakushinda
 
Back
Top Bottom