Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Sipendi ID za jf huwezi kujua men or jike ni yupi
Badilikeni jamani wengine mnakosa bahati ya kutongozwa ohooooo
Aiseeeee......!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sipendi ID za jf huwezi kujua men or jike ni yupi
Badilikeni jamani wengine mnakosa bahati ya kutongozwa ohooooo
Hata mie hii tabia siipendi kabisa
Dawa yao ndogo. Mwambie akulipe Mara atakapopata. Hatarudi. Baada ya miaka 3 utajikuta hakuna MTU atakaye kuja kukopa kwako.Kuna watu wana tabia za ajabu sana. Unakuta mtu anakuja kukulilia shida, anaomba umkope pesa huku akiahidi atarudisha tu mara pesa yake itakapotoka.
Unakubali na pesa unampatia kwa makubaliano kuwa atalipa mara tu pesa yake itakapokuwa tayari. Muda wa kukulipa unafika mara anaanza stori za... Oh unajua najenga.... Pesa nimepeleka kwenye ujenzi... Mara ooh.. Kuna dogo nimemlipia ada.... Mara tena... Oh unajua mama mgonjwa..... Mara nilipata msiba!! Vijisababu kibao ambavyo hata hukutegemea na havikuwa ktk makubaliano yenu.
Matokeo yake sasa, anaanza kulipa pesa kwa mafungu tena kwa mpesa au tigo pesa na makato juu.... Mwishkni unakuta pesa yako yote ni kama umeitoa kafara! Mishoni kiasi kidogo kinabakia kwake na hana uwezo wa kulipa huku akiendelea kuleta vijisababu kibao.
Tubadilikeni jamani. Hizi tabia zina boa sana.
We umekuja kukopa halafu iweje wakati wa kulipa unakija na stori kibao. Lipa pesa ya watu hakuna mtu yupo interested kujua stori zako au matatizo yako! Timiza ahadi kwanza..... Kila mtu ana shida zake. Na ieleweke kuwa mtu akikukopa pesa haina maana kuwa hakuwa na matumizi na pesa hiyo, ila tu ni jambo la huruma na kukuamini.
Sipendi mgomo wa madereva... Nilitembea km 50 kutoka home hadi job ( wasirudie tena)
Sipendi wapenzi wenye tabia ya kununanuna ovyo Kitu kidog tu kununiwa mwaka mzima ptuu
Sipendi tabia ya baadhi ya wana jf members kuwa na ID zaidi ya 1.
Sipendi ID za jf huwezi kujua men or jike ni yupi
Badilikeni jamani wengine mnakosa bahati ya kutongozwa ohooooo
Sipendi ID za jf huwezi kujua men or jike ni yupi
Badilikeni jamani wengine mnakosa bahati ya kutongozwa ohooooo
Dipendi watu wanaopiga story zao binafsi ndani ya post ya mtu mwingine
mwenzagu!! nikajua ni mimi tu nafanyiwa hvi vitimbi
yaani inakera kwakweli! vimaswali maswali havina mbelewala nyuma kuchoshana tu