Sipendi ujinga imeniponza

Scorpio Me

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
6,119
Reaction score
7,934
Kwa jinsi lilivyo niponza hili neno silitamki tena.
Jana nilijipa kazi ya kufuta vitu visivyo na umuhimu kwenye sm yangu. Huku nikijisifia sipendagi ujinga Mimi.
Katika futa futa si nimefuta namba ya bosi wangu. Halafu boss mwenyew wa kike.
Mida ya Saa mbili usiku nikawa chumbani kwangu.
Mara simu ýäñgù ikawa inaita.
Kucheki namba ngeni.
Nikapokea baada ya salamu.
Me→nani mwenzangu??
Boss→we hunijui me ??
Me→usinijbu swali kwa swali Nita kublacklist sasa hiv. Sipendagi ujinga..

Kwa sasa nazurura tu mtaani na roba langu La machupa

Mi nataka ujinga[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Bibi kapigwa mtama na Kibaka na kuporwa simu, Kainuka na kuanza kumkimbiza kibaka, Kibaka kuona Bibi hakati tamaa akatupa simu, Bibi kaikota na kuendelea kumkimbiza kibaka, Kibaka _"Bibi kama ni simu yako si tayari umechukua"_, Bibi kajibu _"Bado Mtama"_*

Ujinga sipendagi mimi"
 
Sema umezidi na ujinga mwingmwing kama huo,,achana na ujinga mdogomdogo wa kijinga
 
nouma
 
USIKUBALI KUTAPELIWA

*Kuna baadhi ya watu wanajihusisha na biashara ya sumu ya panya feki....tafadhali onja kwanza kabla ya kununua usikubali kutapeliwa*

WEWE SI HUPENDAGI UJINGA ONJA.[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Mimi juzi nilikwenda kutembea kwa jamaa zangu mida za usiku, kuna sister duu alipita kitaa nikasema sipendi ujinga kuwacha demu apite bila ya kupata namba yake. Kumtokea kumbe si sister wangu(mtoto wa shangazi)[emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Sipati picha kilichofuata hapo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kwanza inabidi ujilaumu mara mia..
maana alikupigia ili ukamgegede we ukajifanya mswahilii
ukakosa vyoteee
 
Jana nateremka kwenye BASI UBUNGO nataka nichukue TEKSI hadi KIMARA naambiwa sh.15,000/=.
Wakati niponatafakari hiyo bei, nikasikia "Moro, Moro,Morogoro sh.6,000/="
Nikaamua nipande niende zangu MOROGORO.
Kwenda na kurudi sh.12,000/=.
Wakati wa kurudi nikamwmbia KONDA aniteremshe KIMARA

Sipendi ujinga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…