Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
Kwa jinsi lilivyo niponza hili neno silitamki tena.
Jana nilijipa kazi ya kufuta vitu visivyo na umuhimu kwenye sm yangu. Huku nikijisifia sipendagi ujinga Mimi.
Katika futa futa si nimefuta namba ya bosi wangu. Halafu boss mwenyew wa kike.
Mida ya Saa mbili usiku nikawa chumbani kwangu.
Mara simu ýäñgù ikawa inaita.
Kucheki namba ngeni.
Nikapokea baada ya salamu.
Me→nani mwenzangu??
Boss→we hunijui me ??
Me→usinijbu swali kwa swali Nita kublacklist sasa hiv. Sipendagi ujinga..
Kwa sasa nazurura tu mtaani na roba langu La machupa
Mi nataka ujinga[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]