Sipendi ujinga kabisa

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
Eti nimekutana na mapolisi wakaniuliza
"mbona unatembea usiku..?"
nikawajibu kwani usiku watu wanaogelea..!!
Sahivi nipo kwenye difenda i think wananipeleka home
sipendagi ujinga mimi
 
Jana kuna data zimetoka, tanzania ina IDADI ya WAGONJWA WA AKILI, 400,000+
 
Eti nimekutana na mapolisi wakaniuliza
"mbona unatembea usiku..?"
nikawajibu kwani usiku watu wanaogelea..!!
Sahivi nipo kwenye difenda i think wananipeleka home
sipendagi ujinga mimi

Uko taifa gani muda huu maana kwa hapa nyumbani ni majira ya asubuhi!
 
Jana kuna data zimetoka, tanzania ina IDADI ya WAGONJWA WA AKILI, 400,000+
najua me ndo no 1 lkn bila shaka kama ni watz basi na nanilii yumo....
 
Ktk mchango wa Tshs 7m, mi naplegde 1m
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Nilijua tu utahisi hivyo sasa nimepatia kumbe ktk hao watz ulowataja wewe ndo huyo naniliiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kuna jini sijui ndo maimuna huwa anatabia ya kunivizia nmelala anakuja kusex na mm ndotoni
sasa nmemkomesha nmemtia mimba afu sijalala nna wiki mbili sasa nakesha tu najua anantafta
mwambieni akaitoe tu mi silali ng'ooo
mi sio mtu wa mchezomchezo...sipendagi ujinga
 
Duh! we kweli sio wa mchezo mchezoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mbona eti nasikia huyo jini maimuna ni mbuzi....[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Eti nimekutana na mapolisi wakaniuliza
"mbona unatembea usiku..?"
nikawajibu kwani usiku watu wanaogelea..!!
Sahivi nipo kwenye difenda i think wananipeleka home
sipendagi ujinga mimi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…