Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti nimekutana na mapolisi wakaniuliza
"mbona unatembea usiku..?"
nikawajibu kwani usiku watu wanaogelea..!!
Sahivi nipo kwenye difenda i think wananipeleka home
sipendagi ujinga mimi
Ktk mchango wa Tshs 7m, mi naplegde 1mnajua me ndo no 1 lkn bila shaka kama ni watz basi na nanilii yumo....
Duh! we kweli sio wa mchezo mchezo😀😀😀Kuna jini sijui ndo maimuna huwa anatabia ya kunivizia nmelala anakuja kusex na mm ndotoni
sasa nmemkomesha nmemtia mimba afu sijalala nna wiki mbili sasa nakesha tu najua anantafta
mwambieni akaitoe tu mi silali ng'ooo
mi sio mtu wa mchezomchezo...sipendagi ujinga
Mbona eti nasikia huyo jini maimuna ni mbuzi....[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Kuna jini sijui ndo maimuna huwa anatabia ya kunivizia nmelala anakuja kusex na mm ndotoni
sasa nmemkomesha nmemtia mimba afu sijalala nna wiki mbili sasa nakesha tu najua anantafta
mwambieni akaitoe tu mi silali ng'ooo
mi sio mtu wa mchezomchezo...sipendagi ujinga
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Eti nimekutana na mapolisi wakaniuliza
"mbona unatembea usiku..?"
nikawajibu kwani usiku watu wanaogelea..!!
Sahivi nipo kwenye difenda i think wananipeleka home
sipendagi ujinga mimi