Sipendi ujinga mimi

Sipendi ujinga mimi

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
*Wadada bhana eti beb penzi unalonipa liko hot kama kipigo cha wale walimu wa Mbeya day*

*Wadada Mungu anawaona tu*!!



[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Juzi kuna baba mmoja alimpaka sumu mke wake kwenye matiti afu ye akaondoka kwenda kazini ili akirudi akute mtoto amekufa kwakuwa alikuwa anajua sio mtoto wake.......ile anarudi badala ya mtoto akakuta amekufa house boy...
# Usiniulize alikufaje ...mi simooo! mambo ya umbea na ujinga sipendagi mimi
 
*Mke:* Naelekea london, nikuletee zawadi gani?
*Mume:* kitu gani unaweza niletea wewe?
*Mke:* we omba Alafu utaona.
*Mume:* Niletee msichana wa kizungu.
*Mke:* (mke akaendaLondon na kurudi)
*Mume:* zawadi yangu iko wapi?
* Mke:* Subiri ndani ya miezi 9!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji85]

*Pia Wamama hawapendi ujinga*
 
Back
Top Bottom