Sipendi ujinga

Sipendi ujinga

Mwl: Atakaejibu swali anaenda nyumbani.

Mara John anarusha begi lake nje..

Mwl: Nani karusha begi nje?

John: Mimi hapa mwalimu, kwa heri tutaonana kesho....

John huyo anasepa zake [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]


*John kweli hapendi ujinga*
 
*Dogo: Hivi baba maisha ya ndoa yakoje???*

*Baba: Futa nyimbo kwenye simu yako acha mmoja tu... Afu uwe unasikiliz huo wimbo kila siku*

*Dogo mpaka Leo hajaoa*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

*Dogo hapendi ujinga*
 
Basi nimegundua kitu, bado tu hujapata hela ya kujenga nyumba yako ila utajenga siku moja maana wewe ni geneous
 
Kuna ndugu yangu nilimsikia amefanya biashara miaka 20 ila haoni matunda,

Niko zangu njiani nampelekea maembe na machungwa ayaone kisha nirudi nayo..

*sipendagi ujinga mimi [emoji23][emoji23]*
 
Mtoto katekwa ma jambazi
Jambazi ikabidi ampigie simu Baba wa mtoto.....

Jambazi: Kama unamtaka mtoto wako basi lete milioni ishirini ndo utampata mtoto wako...
Baba: Mtoto wangu unampa chakula?

Jambazi: Ndio...
Baba: Unampa maji ya kunywa?

Jambazi: Ndio...
Baba: Kama ndo hvyo njooni muwachukue na wadogo zake

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]spendag ujinga mie khaaa
 
*Mtoto* Hivi kwa nini watu huwa wanasema Simba na Yanga na sio Yanga na Simba?
*Baba* Mimi na mama yako unatuitaje?
*Mtoto* Baba na Mama
*Baba* Habari ndio hiyo!
Sipendagi upuuzi [emoji35]
 
kwenye mtihani wa biology nilikutana na swali et nichore dyudyu kisha nilebo
nikafungua zipu nikatoa dyudyu nikaanza kuchora...
msimamizi akaja akaniuliza unafanya nini nikamjibu sipendi ujinga mimi haiwezekani nifeli mtihani wakati majibu mengine ninayo mwilini mwangu!!
 
.........???¿????

Wife: Am going to london, do you want any gift?
husband: what i want you can not bring.
wife: just ask and see.
husband: bring me a british girl.
wife: (went to London and returns)
husband: where is the gift?
wife: wait for 9 months!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

kumbe pia wamama hawapendi ujinga
 
Jana nateremka kwenye BASI UBUNGO nataka nichukue TEKSI hadi KIMARA naambiwa sh.15,000/=.
Wakati niponatafakari hiyo bei, nikasikia "Moro, Moro,Morogoro sh.6,000/="
Nikaamua nipande niende zangu MOROGORO.
Kwenda na kurudi sh.12,000/=.
Wakati wa kurudi nikamwmbia KONDA aniteremshe KIMARA.
SIPENDAGI UJINGA MIMI NA BEI ZA TEKSI.
1f623.png
1f623.png
 
Ndugu ww ndiyo mjinga maana
0712173610+0758251890=1,497,425,500

Yuko sahihi jibu ni 1470425500 wewe ndio bogazi tena lenye mizizi kabisa .Haya kamata chini nikulambe viboko vitano maana sipendagi ujinga nikiona v-laza kama nyie
 
Nimejichanga weeeee nikafanikiwa kununua ka Vits kangu cha kunisaidia kwenye misele yangu. Siku moja nipo na baba mkwe wangu nampeleka hospitali, tukiwa tunasubiri kuruhusiwa kwenye mataa pembeni kulikuwa na Range Rover anaendesha kijana kama mimi tu. Baba mkwe wangu akaniuliza, *"mkwe!* *umemuona mwanaume huyo?"* Nilishikwa na hasira nikajikuta nimemjibu *"kuwa na baba mkwe tajiri raha sana, jamaa alipewa hiyo gari kama zawadi na baba mkwe wake siku ya harusi yake"* Basi baba mkwe wangu akanyamaza kimya akawa mdooooooogo.

*Pumbavu!* *huwa sipendi dharau mimi*
Hayo majibu ni ya kiume
 
Nipo kanisani ibadani Mara pasta anasema wale wenye madeni wapite mbele afanye maombi ya kufuta madeni Mara namwona jamaa nnae mdai anaenda mbele huku akiniangalia kwa tabasam panaaa[emoji15][emoji18][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35] nimeenda kumrudisha kwa kiti sipendi ujinga mimi
 
Back
Top Bottom