Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,303
Hahahaha unajua komredi wanawake huwa wanajichanganya wenyewe kwa wanaume waroho huku na huku anajikuta yupo bed na jamaa.
na mwanaume yoyote anaempenda na kumuheshimu mkewe atafanya juu chini huu upuuzi usijuulikane, atatumia akili zake zote za kuzaliwa...ni kuomba mungu tu, mie ckanii nafc ya mtu kabisa.
na mwanaume yoyote anaempenda na kumuheshimu mkewe atafanya juu chini huu upuuzi usijuulikane, atatumia akili zake zote za kuzaliwa...ni kuomba mungu tu, mie ckanii nafc ya mtu kabisa.
Umenifungua akili:
With immediate effect, the salon thing is strictly prohibited to my darling wife!!!!! Aidha nimsuke mwenyewe au nimnyoe upara kudadadeki.
Halafu ukute saluni yenyewe ya wakongo. Au msusi mwenyewe mmasai mwenye mtarimbo kama mguu wa mwanangu matesha. LOL!
umenichekesha sana, na kunikumbusha siku moja niko saloon kuna kaka mmoja alimleta mke wake atengeneze kucha sasa mtegeneza kucha ni kijana akawa anaushika mguu anausafisha akauinua kidogo juu yule kaka akawa anamuangalia kwa mbali nje ghafla akaingia saloon akamwambia mkewe haya tuondoke mke hakajibu mbona sijamaliza nimekwambia tuondokeee!! akamvuta akamtoa nje wakapanda kwenye gari haooo toka siku hyo sikuwahi kumuona huyo dada saloon.
Hakuna kitu hapo!wanaotoka nje ya ndoa wana sababu zao,kama mumeo hana,usitake kuassume na waume wa wenzio pia HAWANA...!..
AND HEELL NO,KWA NINI NIMLAUMU DA SOPPHY,WKT NI MUME WANGU ALIYESAHAU KIAPO CHETU NA KUMFUATA?
ndio mana mie naogopa kumkania kabisa, kwamba hatoki cjui na kitu gani, bora nijiweke 50-50 tu mambo mengine yafate, lakini cku nikilikamata yaani cjui.....hivi chris hebu nikuulize, sasa kama wewe ni sababu gani inakufanya utoke nje? naomba nijue plz.
Chrispin,
Na wewe utakuwa tayari kuacha kwenda barber shop zenye wahudumu wa kike wanaokumasaj na kukutekenya shingo kwa kisingizio cha kukuosha? Maana by that time ushanyolewa hizo mbwembwe za ziada za nini? Mbona zamani haya mambo hayakuwepo?
hapo umenena Caren tena wanapenda kweli kwenda zenye wahudumu wa kikeChrispin,
Na wewe utakuwa tayari kuacha kwenda barber shop zenye wahudumu wa kike wanaokumasaj na kukutekenya shingo kwa kisingizio cha kukuosha? Maana by that time ushanyolewa hizo mbwembwe za ziada za nini? Mbona zamani haya mambo hayakuwepo?
Ndivyo tunavyofanya na ndio maana ndoa zetu zinadumu
Ndivyo tunavyofanya na ndio maana wake zetu wanatuamini,
Ndivyo tunavyofanya ndio maana kina Carmel wanaapa hatuna mahawara.
Ni vile tu kina Carmel bado hawajajua huwa tunafanya hivyo. Otherwise ndoa nyingi zinazoitwa ndoa madhubuti na imara zingekuwa historia.
Mpwa kinachofanya hizo ndoa imara zidumu ni upendo wa dhati wa mmoja wao; kwani anapenda na kusamehe makosa ya mwenzake; lakini hii isiwe tiketi yetu kufanya huko nje kama kamata kamata ya city! Nilishawahi kusema kwenye thread moja the So called playas are actually playing to loose; kuliko wanvyodhani wana Win.
Hakuna kitu hapo!
Tunajidanganya sana tunapo halalisha kuwa TUNAZO SABABU ZA KUTOKA NJE YA NDOA!
Nasema nikiwa nimepita huko!
Am telling you at the end of the game unakujatambua kuwa YOU ARE THE BIGGEST LOOSER ! Kama you take a moment kudigest what you have done na una akili timamu huwezi kuufeel PRIDE na ulicho kifanya; Wote tunajua experience ya mtoto aliyedokoa sukari! Mama kila akikuita wewe roho lazima ikupae! Unajua ohoooooooo tayari kimeshadasuka! It is the same sasa afadhali kwa mtoto ni rahisi kusahau; Mtu mzima unakosa usingizi wiki nzima!
UNLESS you are SELFISH and a PIG!
Mwenye kufurahia hilo ni yule tu asiyejijua yupo hapa duniani kufanya nini! Na wale ma sadist !
usiwasemee watu(wanaume wenzio)...kama hukuwa na sababu ya kutoka nje ya ndoa ni wewe!
i agree kuna wanaotoka kwa uchu tu,but i bliv wengi hufata kile kinachokosekana ndani ya ndoa zao....
na nimeona wengi tu wana PRIDE ya hii kitu,hata ndani ya mada hii si umemuona hapo PASCO???if you felt different then you are one in a million!
being selfish and saddist,didnt you realize this in the first place???yaaani umekuja gundua this baada ya probably kumjengea tayari nyumba da sopphy?lol
its unfortunate hukupata ulichokifata nje ya ndoa,ama uliona huko hupati zaidi ya unachopata nyumbani...otherwise tungekuwa tunaongea mengine!... yes,akina da sopphy wataendelea kuwepo!so long as there is a'demand'
MJ,ningekuelewa zaidi kama usingekuwa kny hio statitistics za wanaume ambao wamewahi kucheat,LOL..

Roselyne1 hebu twende PM kidogo. Haiwezekani ukawa unaongea point namna hii afu nikuache hivi hivi na kiu. Unatumia bia gani vile?
hapa nimekuelewa 'beyond reasonable doubt!!!
Ndovu baridi,....
PM mwenzio naogopa,naskia kuna siafu na mbu...LOL
The Following 2 Users Say Thank You to roselyne1 For This Useful Post: