Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,303
Hahahaha unajua komredi wanawake huwa wanajichanganya wenyewe kwa wanaume waroho huku na huku anajikuta yupo bed na jamaa.
Hommie ni kweli kabisa; na si kweli kuwa imetokea kwa bahati mbaya no! Akishaona kuna mwenzie pale anapewa kila kitu naye huanza kujipendekeza akidhani kuwa she will enjoy the benefits; ndo hao wamenunuliwa RAV 4 hapo mjini!