Sipendi wanaume mwenye uwezo mkubwa ni moja ya sifa ya mwanaume anaemtaka Wema Sepetu

Sipendi wanaume mwenye uwezo mkubwa ni moja ya sifa ya mwanaume anaemtaka Wema Sepetu

shishi ingawa hajasoma ana akili na atakuwa na maisha mazuri kuliko huyu dada wa international school.kitu yake ngumu na haina soko angeitumia vizuri angekuwa mbali ila kwasasa sio yeye kuchagua
 
Msanii wa filamu, Wema Sepetu ameibuka na kudai kwamba yeye si mwanamke anayependa wanaume wenye uwezo mkubwa kama tuhuma dhidi yake zinavyoeleza.
“Mimi napenda mwanaume anayejielewa,mwenye upendo na mchapakazi, ikitokea ana fedha itakuwa imetokea,lakini si mwanamke ninayependa pesa kuliko utu na mapenzi ya kweli,”alijinadi Wema Sepetu na kuongeza;
“Unajua pesa sio kikwazo katika maisha yangu, kwa sababu najua kuitafuta hivyo siwezi kubweteka kwa kutaka mwanaume mwenye pesa, hilo kwangu halipo, ninachotaka awe na upendo na thamani kwangu awe mfariji na si maumivu.”
Hata hivyo, Wema alisema hatoacha kuomba kila kukicha Mwenyezi Mungu ampatie mwanaume mwenye sifa anazotaka ili roho yake isuuzike.
Linamchwea... The sun is going down to Chiolu
 
Inasemekana wanawake wanaharakati, mara nyingi huwa hawaolewi, na hata wakiolewa kwenye ndoa huwa hawadumu!!
 
Huyu naye hakui tu
Umiss uliisha kitambo
Pesa mbona ameshindwa hata kujenga kibanda pyuuuu
Ajikusanye aanze safari upya jua linazama
Kupata kitu ni majaaliwa yake mungu alafu Sio kila mtu ndio anaota kuwa na nyumba wapo wanaoota ndoto tofauti na hiyo
 
Inasemekana wanawake wanaharakati, mara nyingi huwa hawaolewi, na hata wakiolewa kwenye ndoa huwa hawadumu!!
Kutawaza tawaza kwingi, mwishowe asije jipakaza kinyesi
kwa hiyo wema nae ni mwanaharakati?
 
Ila Wema ukikutana nae physically kavaa vitu laini haya maneno yote unasahau jamani.
 
Mungu amsaidie apate mume mwema ni haki yake kuolewa
 
Usimuombee hivyo maskini MUNGU ANAMPENDA na ndio anajua mwisho wake.dis z sooo sad sio vizuri
 
Alishindwa kutumia kichwa alipokuwa miss na still hot in town. Akaamua shortcut ya kudanga, nako pia alishindwa kujiweka vizuri.

Zile trip za Dubai na Clement, kukaa 5*hotel na kununua viatu vya $3,000 sasa ni Hadith
Hivi mkuu, wale mbwa wake bado wanavaa viatu? Maana madame si wa spoti spoti ati!..
 
Back
Top Bottom