Sipingi Rashford kuenjoy maisha, ila kwenda kuparty baada ya kupigwa goals 3, daah!

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Kiukweli jamaa kazingua.

Hapo sasa ndio tuje tuelewe mentallity za wachezaji waliopo katika hiki kikosi kisichoeleweka. Yeah they lose and they do not care
 
Kwahiyo asingeenda kwenye birthday yake matokeo yangebadilika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…