Sipingi Rashford kuenjoy maisha, ila kwenda kuparty baada ya kupigwa goals 3, daah!

Sipingi Rashford kuenjoy maisha, ila kwenda kuparty baada ya kupigwa goals 3, daah!

Mimi ni shabiki wa Arsenal. Ten Hag ni kocha mzuri, anahitaji muda zaidi kuitengeneza timu.
Akipewa misimu mingine 2 na akaletewa wachezaji anaowataka yeye timu itakua nzuri sana.
Hahaha mi nishakuelewa wewe
 
Uko sahihi forward kama martial hawezi kupata team epl

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Ila mkuu kipindi cha vaan gaal alikua wa moto sana yule mholanzi alikua anajua kuibua vibaji, tungesubiri mambo yangejipa , japo tulikua tunafungwa ila pira liliwekwa chini tukafurahi.
 
Back
Top Bottom