Mimi ni shabiki wa Arsenal. Ten Hag ni kocha mzuri, anahitaji muda zaidi kuitengeneza timu.
Akipewa misimu mingine 2 na akaletewa wachezaji anaowataka yeye timu itakua nzuri sana.
Ila mkuu kipindi cha vaan gaal alikua wa moto sana yule mholanzi alikua anajua kuibua vibaji, tungesubiri mambo yangejipa , japo tulikua tunafungwa ila pira liliwekwa chini tukafurahi.