Sipo tayari kufanya ajira take home chini ya milioni moja

Wewe hujui maana ya shida.

Kwanza kwanini ulisoma?
Miaka yote hiyo alafu uje kulipwa mill1 kila mwezi?
 
Ndugu, Bora ningepata hio laki nane, fursa nyingi napata microfinance, na wanataka niwe tayari kuanza na shilingi laki tatu na nusu. Sasa nawaza, maisha ndio yatakuaje? Hio Nile, nipange, niende saloon, nitoe sadaka kha
 
Nakusikitikia mleta mada.
Mameno yako yatakugharimu.
Utaikosa hata laki mbili,na vyeti utatamani uvichome
 
Wahenga wanakuambia ata mbuyu ulianza kama mchicha.
Unaweza fanya kwa malengo na kuongeza CV yako maana watu wakozi yako wapo weng na wengn wana experience Hao sasa ndo wanalipwa mshahara unao taka ww lkn ww unaenda kujifunza kazi .
Au amua moja usiajiliwe fanya mishe zako mwenyewe
 
my ex galfrend ana diploma ya mambo hayo,alinichanganya katafuta kazi wiki 3 tu,kapata bank mshaara laki 9,wakati nna washikaji mwaka wa kumi sasa wanatafuta ajira,.wanawake mna bahati
 
my ex galfrend ana diploma ya mambo hayo,alinichanganya katafuta kazi wiki 3 tu,kapata bank mshaara laki 9,wakati nna washikaji mwaka wa kumi sasa wanatafuta ajira,.wanawake mna bahati
duuh watu wana mibahati!
Bank gani mkuu.
 
Sorry kuuliza.

Wewe ni demu?
 
Ila wachina wanaokoa??!! Ache ni tu!
 
Hakuna ofisi itatoa shilingi 300 kwa siku labda useme ni 3000 kwa siku. Sasa huyo mdogo wako si auze matunda na juice mtaani kuliko kuchomekea ofisini bila malipo
 
M
ie miaka 6,BSc. With Education (Agricultural Science and Biology) ila sijawahi kuulizwa GPA, tunasubiri jambo la TAMISEMI tu kama fainali ya wananchi! πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…