Sir Alex Ferguson afanyiwa upasuaji wa ubongo

Hii ingekuwa Afrika...sasa hivi tungekuwa tushafunga turubai...na watu wangeshaanza kusogea...Mungu amjalie apone haraka
Watu wangeshapiga ubwabwa harafu tungesema Mungu kampenda zaidi kumbe uzembe wetu
 
Kama huu upasuaji ungefanyika Muhimbili, Sir Alex angekuwa no more! Pongezi madaktari wetu wa kizungu kwa kumuokoa kocha wetu wa zamani.
 
Hii ingekuwa Afrika...sasa hivi tungekuwa tushafunga turubai...na watu wangeshaanza kusogea...Mungu amjalie apone haraka
Na tungeshakuwa tunacheza karata msibani.Umaskini ni mbaya mnoo
 
bin zubeiry kaandika hivi kwenye blog yake " FERGUSON APATWA UGONJWA WA AKILI, AKIMBIZWA HOSPITALI KWA MATIBABU"
Hivi kweli huyu mtu anastahili kua mwandishi wa habari kweli??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…