Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wangeshapiga ubwabwa harafu tungesema Mungu kampenda zaidi kumbe uzembe wetuHii ingekuwa Afrika...sasa hivi tungekuwa tushafunga turubai...na watu wangeshaanza kusogea...Mungu amjalie apone haraka
Dah... Sasa una ushauri gani kwa waafrika?Hii ingekuwa Afrika...sasa hivi tungekuwa tushafunga turubai...na watu wangeshaanza kusogea...Mungu amjalie apone haraka
Na tungeshakuwa tunacheza karata msibani.Umaskini ni mbaya mnooHii ingekuwa Afrika...sasa hivi tungekuwa tushafunga turubai...na watu wangeshaanza kusogea...Mungu amjalie apone haraka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii ingekuwa Afrika...sasa hivi tungekuwa tushafunga turubai...na watu wangeshaanza kusogea...Mungu amjalie apone haraka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na tungeshakuwa tunacheza karata msibani.Umaskini ni mbaya mnoo