Sir ALEX FERGUSON NA MDOMO WAKE

Kisendi

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Posts
699
Reaction score
179
Ndugu wana football, Jana boss wa mashetani wekundu amesema yeye haiwazii Man city na inaziwaza Liverpoll na Chelsea. Ingawa kuna timu zimtumia pesa nyingi kununua wacehezaji kama vile Man City, Huu ni ukweli usiopingika, Lakini tukirudi nyuma tunaona hata wao hizi BIG four wamekuwa wakitumia pesa nyingi sana hivi karibuni, Mfano man u wamenunua Berbtv kwa paund mil30, rooney 25mil paund na wengine wengi. Timu zingine zikitaka kujiimarisha wana sema zimatumia pesa nyingi. Acha wajiimarishe one day Yes.

Mimi Mwana NEVER WALK ALONE
 
Ferguson anawanyima usingizi enh?

By the way alichosema kuhusu Man City hiki hapa

Mpunguze kuongea kishabiki.
 
hivi kwa nini asikae azungumzie mambo ya timu yake ya Man U... anabore sasa,he think he is everything in england football.!!!
 
Pamoja na kwamba simpendi mzee Fegason na litimu lake lake la ManU lakini mnyonge mnyongeni haki yake mpeni mzee mzima kalonga pointi.
 
hivi kwa nini asikae azungumzie mambo ya timu yake ya Man U... anabore sasa,he think he is everything in england football.!!!

hehehehe, ndio maana kukawa na utofauti wa majina kati yake na makocha wengine (SIR) heheheh
 
Hata wakati wanataka kumsajili KAKA ,KAKA alisema "There is only one club in Manchester"
 
Hata wakati wanataka kumsajili KAKA ,KAKA alisema "There is only one club in Manchester"


We waache tu, ikianza ligi hawa huwaga wanapotea mbona...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…