Ndugu wana football, Jana boss wa mashetani wekundu amesema yeye haiwazii Man city na inaziwaza Liverpoll na Chelsea. Ingawa kuna timu zimtumia pesa nyingi kununua wacehezaji kama vile Man City, Huu ni ukweli usiopingika, Lakini tukirudi nyuma tunaona hata wao hizi BIG four wamekuwa wakitumia pesa nyingi sana hivi karibuni, Mfano man u wamenunua Berbtv kwa paund mil30, rooney 25mil paund na wengine wengi. Timu zingine zikitaka kujiimarisha wana sema zimatumia pesa nyingi. Acha wajiimarishe one day Yes.
Mimi Mwana NEVER WALK ALONE
Mimi Mwana NEVER WALK ALONE