keikiu
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 2,337
- 1,969
Hahahahahaha! Yupo MUNGU aliyeumba kila kitu, amekuumba wewe na ndiye aliyeniumba mimi, dunia na kila kitu kilichomo, wewe si chochote si lolote mbele ya MUNGU.Mimi ni Mother Nature bila Mimi dunia ungeisikia tu!