Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,566 Reaction score 104,386 Mar 16, 2025 #1 Sio kwa Ubaya. Braza ameondoka Mercedes kaenda Ferrari, mikwara mingi sana ila sijui hajaizoea F1-75. Yote 9, msimu wa 2025/26 ndio tumeuanza hivyo Australia leo na matokeo ndio kama haya. Tukutane China tar 23.
Sio kwa Ubaya. Braza ameondoka Mercedes kaenda Ferrari, mikwara mingi sana ila sijui hajaizoea F1-75. Yote 9, msimu wa 2025/26 ndio tumeuanza hivyo Australia leo na matokeo ndio kama haya. Tukutane China tar 23.
Jumlisha JF-Expert Member Joined Jul 10, 2022 Posts 2,193 Reaction score 4,434 Mar 16, 2025 #2 Norris kaanza vyema sana Ila dingi sir lewis naoona mdaa wake umefika tamati.