Sir Nature Amdiss Diamond Mchana Kweupe

Sir Nature Amdiss Diamond Mchana Kweupe

AY kaomba po?Unamaanisha nn

kwenye project ya naseeb dizonga ambwene ana mkono wake!...na yeye ambwene ndo kasanda kwani kila akienda abroad swali la kwanza fans kumuuliza ni habari za diamond ikabidi mtu mzima ajiongeze awe karibu na dogo!....
 
kadri mnavyomsema, ndivyo mnavyomwongezea reputation power both internal and international.

mwacheni diamond afanye yake.. this musician is good!
 
kwanza nataka nijue, ni nini kilmsukuma necha hadi akam-dis dogo. unajua kama umepitwa kimaendeleo ni vizuri ukafurahi kuona mwenzako amefikia pale ambapo wewe ulishindwa. kitendo cha yeye kum-diss dogo kimetu-show jinsi gani upeo wa necha ulivyo finyu. hii ishu inanikumbusha miaka fulani lile kundi lao lilipovunjika, walipojitenga na wenzao wakaanza kuwaimbia nyimbo za kuwasema. nilipokuwa nasikiliza facts zao za kujitoa kule kwenye kundi walisema said fella alikuwa anawanyonya ndo maana wakaondoka. sasa nikawa najiuliza sasa kama aliyekuwa anawanyonya alikuwa ni boss wenu inangia vipi akilini mlipoondoka na kuanza kuwasema wenzenu waliobaki na kuanza kutuletea mipashu kwenye hip hip. yaani ni kama mimi niache kazi kampuni fulani kwa sababu naona nalipwa kidogo halafu baada ya kuondoka eti nianze kuwaponda wenzangu waliobaki kwenye ile kampuni eti kwa nini hawakutoka ka mie. ndo maana unaona hakuvuma kama ile miaka ya 2004 si yeye hata wale alioondoka nao wapo kimya. ila kina chege na temba bado tunawasikia wakitoa nyimbo zao on air. so we juma nature linda heshima yako. kama akikata kiuno ni yeye na fans wake, nyie mbona mnajipinda na mapanga yenu. utaishia kumponda ila yeye anaingiza dooh, JIPANGE
 
Umenena vema mkuu,na pia aliondoka nao hajafanya jitihada zozote nao watoke nazan wanajutia maamuzi yao ya kuondoka na nature,all in all nature alitakiwa aoneshe utuuzima dawa na sio kwa kumuimba vbaya mwenzie
 
matumbo Matola thegreen

Mkiusikiliza huu wimbo mtaona aibu na kauli zenu,jide na nature wanapgiania mzki,sikiliza vzur na verse ya jde..

Nature hajafulia kimaisha na hawez aliwekeza..
 
Last edited by a moderator:

wimbo nimeusikia bob,,natamani ungekuwa wa jide peke yake..mbibo ndio kafanya vizuri umo ndani km kawaida yake mbibo uwa aharibu kazi.
 
Last edited by a moderator:
Wabongo bana, hivi Diamond hana ya kupongezwa.....kwa mfano mbona asije na mstari wa kumpongeza kwa alivyomuenzi mkongwe a.k.a the legendary mzee MAALIM GURUMO.....

...............UBINADAMU KAZI............

Wanajitahidi sana kupata attention ya almasi lakini cha ajabu sijawahi kumsikia Diamond akipambana nao back.
 
Huyu atakuwa kaacha kuvuta kuberi siku hizi karudiaa bangi zake...
 
Duh ivi uyu Diamond c kasema Chid katoboa pua na mlikua mnakata viuno haswaa mkiuckia ule leo mnaambiwa kukata kiuno sio ndo kujua mmemaind kwani mkati nyie mchelemchele au hamshushi ivo vi-bukta vyenu kimya basi kuanzia dada Mondi na wengine kwenye ukwl tutafuata ukwl.
 
ee Mungu nakuomba uendelee kumnyanyua Diamond..azidi kukua zaidi na zaidi..asirudi nyuma kamwe..hata wale wanaomtakia mabaya...waendelee kushuhudia mafanikio yake..Amen!!!
 
wimbo nimeusikia bob,,natamani ungekuwa wa jide peke yake..mbibo ndio kafanya vizuri umo ndani km kawaida yake mbibo uwa aharibu kazi.

Hahaha.. matumbo una chuki binafsi na nature,yani nature alivokamua vile unasema angekuwepo jide pekeyake.?
 
Last edited by a moderator:
Wabongo bana, hivi Diamond hana ya kupongezwa.....kwa mfano mbona asije na mstari wa kumpongeza kwa alivyomuenzi mkongwe a.k.a the legendary mzee MAALIM GURUMO.....

...............UBINADAMU KAZI............

Wanajitahidi sana kupata attention ya almasi lakini cha ajabu sijawahi kumsikia Diamond akipambana nao back.

Diamond anakesha akipambana na ally kiba daily kumponda kiba,lakin kiba hajawah kujibu
 
Back
Top Bottom