Sir Nature Amdiss Diamond Mchana Kweupe

duh humu jf kuna comments za baadhi ya watu zimenichekesha sana.ugomvi wa 'R' na 'L', teeeeh,teeeeh,teeeeh!@#%&&

umeona eeh watu wengine hawapendi kuambiwa ukwl cjui kilichomfanya anune nn
 
Juma nature katika song lake jipya aliomshirikisha Lady Jaydee amemdiss Diamond kwa kumuita dada mond. Juma Nature amesema hayo katika wimbo mpya aliouachia unaitwa kama jana.
we necha uctake kurudi gemuni kwa kutumia jina la diamond humuwez ng'o wakt wako umeisha
 
Haya mabifu yasiyo na msingi yanarudisha nyuma muziki wetu,hivi ni kweli usemayo au?.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…