Sir Nature na familia!!!!!

Magwega alikuwa KIBAKA. Na kibaka nikiwa na maana MBAKAJI wanawake kama Mzee ********.

Alikuwa akiishi Majita A. kutokana na maelezo ya Afande wangu, Sajenti Manyirizu.
 
Kajamaa sauti yake huwa inaniburudisha sana ...
nawatakia ndoa njema mungu awe pamoja nao
 
Hiyo ilikuwa ni ndoa kwa ajili ya futari tu!
 
Si aliimba kuwa hataki demu tena?........

jamaa alimzimikia sana Sinta...

lakini si unajua tena haya mambo muda ukishapita unasahau na maisha yanasonga...nadhani mwana wa kiumeni ameamua kusonga..

hongera nature...
 
Mimi nakumbuka alioa miaka kadhaa nyuma je hiyo ni picha ya zamani au aliachana ndio anaoa tena?au ameoa mke wa pili?nilisikia mkewe anaitwa Pili je ndio huyu?

Hii ndoa ni ya muda kidogo nadhani mwaka jana.
 

Dah, watu mnatoa wapi mambo haya, najua JASUSI, MKANDARA na MASATU wanayajua zaidi, ila nitajaribu kusaidia, halafu Jasusi, Mkandara na Masatu watamalizia.

Magwega bin Chiguru alikuwa ni mtu halisi aliyekuwa akiishi maeneo fulani ya Majita kati ya Iramba, Wariku na Suguti katikati ya miaka ya sitini, nadhani mwaka 1964 au 1966 hivi. Mtu huyu alikuwa na tabia ya kubeba wanawake kwa nguvu na kwenda kujamiiana nao vichakani bila ridhaa yao (yaani kuwabaka). Kwa vile hakukuwa na sheria ya kumzuia kufanya hivyo, jamii ya wajita wakaamua kutoa adhabu kwa kumuumbua tabia yake hiyo kwa kutumia wimbo wa "Magwega wa Chiuguru anatumia jeki (yaani nguvu) kupata mavituz"
 

duh.. sielewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…