Kwa hiyo wasiojulikana (yaani watekaji/wauaji) sasa wanajulikana?!Muda huu Sirari tarime baada ya tukio la kutekwa kwa mmoja wa wafanyabiashara, mapambano ya polisi na raia yanaendelea.
KWA HIYO KUANZIA KESHO POLISI WATUAMBIE WATEKAJI HAO NI AKINA NANI!!MAANA VIJANA WAMESAIDIA HADI WAMEKIMBILIA KWENYE USALAMA "'KWA MARA YA KWANZA WATEKAJI WATAONEKANAAAA VITA NI VITAAAAAA MURAAAAAAAAAKwa hiyo wasiojulikana (yaani watekaji) sasa wanajulikana!
ππ₯ π₯ π₯VITA NI VITAAAAAA MURAAAAAAAAA
Kipindi hiki Utekaji umekithiri aisee..Huku kwengine mtu anachukuliwa watu wanashangaa kama kondoo
Polisi wamekimbilia polisi, hii inaonesha Wasio julikana(watekaji) ni polisi. Kama ingekuwa wahalifu tu wangekimbilia kokote sio kitu cha polisiwatekaji ikabidi wakimbilie kituo cha Polisi Tarime ili kujiokoa.
Dar kila mtu amakomaa na mambo yakeDar sijui kuna shida gani?