Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 15,096
- 8,914
Ila kumbuka mkuu huu Dar hakuna wazaramo tu peke yao wapo hadi wa huko Mara pia.Wanaume wa Dar 10 sawasawa na mmoja wa Mara
Ila kumbuka mkuu huu Dar hakuna wazaramo tu peke yao wapo hadi wa huko Mara pia.Wanaume wa Dar 10 sawasawa na mmoja wa Mara
hao ni nyumbu tu! Sasa si wangewakamata watekaji wakati wanateka? Wasukuma ni washamba! Wakurya hatusubiri mpaka waondoke, tunakunywa supu ya mbwa ikiwa ya moto! Ndo maana lisu alimchukua makamu wake kutoka huku!Kipindi hiki Utekaji umekithiri aisee..
GE2025 - Usiku huu wananchi wa Kakola, Kahama wafunga barabara kushinikiza vijana wanne waliotekwa leo kupatikana | JamiiForums GE2025 - Usiku huu wananchi wa Kakola, Kahama wafunga barabara kushinikiza vijana wanne waliotekwa leo kupatikana
na hao ndo wanakuwaga mstari wa mbele ikitokeaga maandamano huko dar! Usisahau hili!Ila kumbuka mkuu huu Dar hakuna wazaramo tu peke yao wapo hadi wa huko Mara pia.
Mkuu, vipi huko kanda maalum, mtatoka?na hao ndo wanakuwaga mstari wa mbele ikitokeaga maandamano huko dar! Usisahau hili!
Sasa hivi wanasemwa wanaume wa Dar na wao wakiwepo.na hao ndo wanakuwaga mstari wa mbele ikitokeaga maandamano huko dar! Usisahau hili!
Ukileta fujo,utapigwa tu!Hali ilivyo Sirari usiku huu baada ya Watu wasiojulikana kumteka mtu wananchi wamekomaa wakafunga barabara dakika ya mwisho watekaji ikabidi wakimbilie kituo cha Polisi Tarime ili kujiokoa.
View attachment 3491571
View attachment 3491572
Muda huu Sirari tarime baada ya tukio la kutekwa kwa mmoja wa wafanyabiashara, mapambano ya polisi na raia yanaendelea.
hayo unayayisikia ni trailer! 29 kuna jambo kubwa kwakeli! Mungu tu atusaidie! Ijumaa ya wiki iliyopita, walituita twende kwenye kikao! Halafu wakatuambia eti tusije tukaandamane! Kilichotokea hata wenyewe wamepata majibu kuwa sisi ni akina nani!!Mkuu, vipi huko kanda maalum, mtatoka?
Mkuu, vipi huko kanda maalum, mtatoka?