Sirari: Wananchi wampambania mwenzao asitekwe!

Ndio ilichobakia ...
Hongera zao raia πŸ’ͺπŸ‘ŒπŸ€πŸ™πŸ‘πŸ‘
 
Watekaji wanakimbiliaje Police? Maajabu haya!
Kulikuwa hakuna jinsi vinginevyo kiberiti kingewahusu na wakabanikwa Kwa moto wa matairi na Petrol.
Kwa kuwa wamejisalimisha polisi, sasa polisi watuambie hao ni akina nani maana wamekimbilia kituoni…
 
Serikali imeamua kuichokoza Wakurya
Nilisha wahi kuandika humu, watu wa huko si wa mchezo mchezo, hili Jambo Kwa kuwa ndio limeasisiwa na mamlaka, sasa wakurya wana kazi moja tu, kuliendeleza. Itakuwa vigumu Sana Siku zijazo Kwa polisi kukamata watu maana watapigiwa yowe na watageuziwa kibao. Stay tuned. Wamfufue Lyatonga Mrema ladba ndio ataweza. Watu wa huko hawana mchezo linapokuja suala la haki zao kuchezewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…