Siri 5 ambazo hupaswi kumwambia mwenza wako/mume ama anaetarajia kuwa mwenza wako hata iweje

Sasa mbona wakijibiwa hawasepi? Wengi mnauliza sababu za wivu tu kutaka kujua hayo mauno mnayopewa ni wangapi walishayafaidi.

Na mnauliza mkiomba Mungu idadi isizidi moja hata kama ni kwa kudanganywa. Chezea papuchi wewe.
Ni kupima tu level ya uaminifu wako tu. Ukisema 10 sikuachi ila ukisema wawili tu navaa ndomπŸ˜€
 
Heee wewe kweli mchanga kwenye hii field. Wewe unadhani huwa mnauliza kipindi ambacho bado hamjaanza kufanya?
Unakuta mmeshagegedana mpaka mahusiano yamekaa hadi mnaishiwa story ndio hayo maswali ya ajabu ajabu yanakuja.
Hahahahahah kwamba story zimekata ndio mnaanza hii maswala.
 
Shenzi sana, hamna mwanamke ambaye atasema kaliwa na Coaster mbili. Jibu pendwa ni wawili tu na wewe ndio wa tatu [emoji3][emoji3][emoji3]
Akikuambia wewe ni wa tatu ameokoka huyo. Yaani unasemaje wawili kwa mfano?
Ni mmoja, nilidumu nae muda mrefu sana tukaachana nikaumia sana ndio maana sikuingia kwenye mahusiano tena until I met you.
 
Akikuambia wewe ni wa tatu ameokoka huyo. Yaani unasemaje wawili kwa mfano?
Ni mmoja, nilidumu nae muda mrefu sana tukaachana nikaumia sana ndio maana sikuingia kwenye mahusiano tena until I met you.
Hahahahahah na boya anapiga goti kabisa will you marry me? 🀣 🀣 🀣
 
Kama hujamkuta Bikra USIOE...
 
Hahahaha hapo kwenye idadi mkiulizaga jibu ni kama sheria "mwanaume mmoja na wewe ndio wapili".

Hivi kwanin wanapenda kuuliza hili swali wanataka kujifariji au ??[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na hapo tunasema ni mmoja kwa sababu unakuta bikira haipo. Pangekuwa hamna ushahidi wa kuwepo ama kutokuwepo kwa bikra jibu lingekuwa "wewe ndio wa kwanza".

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ongeza namba 6

Usije ukamwmbia kua wewe mwanamke kwenu hawamkubari (mwanaume) Ila wewe upo nae tu ndio hivyo utafanyaje,

Hii inaniumiza mwanaume kuliko unavyoelewa,
Hii mbona ndio kali! Kushinda hizo zoote.... Bomu la atomic! Hili Duu
 
Mambo ya kusema sema siri zangu kwa mpenzi ya kazi gani.
Tumekutana safari yetu ikaanza hapo iwe kuhusu sisi siri ziwache
 
Sawa mnajua ila mnakuwa mnauliza hilo swali kutafuta nini?
Tuseme kumi? Watano? Watatu? Oooh no, ni mmoja aliyenibikiri wa pili ni wewe broh!
Sasa sista[emoji23][emoji23], umekuwa na mahusiano na ukalala na wanaume zaidi ya watatu na yote yakavunjika, yaani wewe ndio constant factor hapo, halafu ndio unataka nikuoe. [emoji23][emoji23][emoji23] to hell, wakati mimi mwenyewe tunaoitwa mbwa sijafika huko. Yaani kwa hesabu za haraka wewe ndio variable iliyopo constant katika kila mahusiano uliyoyavunja, basi ujue unashida.
 
Nani kakwambia ukweli unafichika[emoji23][emoji23][emoji23], yaani ni vema useme yote sasaivi na kwaukweli maana nitajitafakari nakuweka maamuzi kuwa nimekupenda wewe kama wewe nasijali lolote. Sasa ficha yajeyaibuke kwenye stage mbaya za safari ya maisha ndio utajua kwanini ndoa nyingi huvunjika baada ya muda mfupi. Kila mtu asimnyime haki mwenziwe, mwanamke anakuwa interested na future ya mwanaume basi usiifiche na in real sense huwezi kuficha your future ila mwanaume anakuwa interested na the past ya mwanamke, sasa utadhani yanafichika ila yanazuka kama mzimu uko mbele ndio utajua trust ikivunjwa haiwezi kujengwa kama mwanzo kamwe. Hii inaapply kwa point zako ulizozitaja isipokuwa hizo za starehe kama mlifurahishanaje na huyo ex wako. Ila idadi ya maex, huonyesha ukomavu wakuhandle matamaa yako ya mwili. Kwani nani alikuhakikishia mwanaume kuwa hutaweza kuwa ex wakati mwenzako bado anamatamaa yamemtawala kichwani asijue kutofautisha kutunza familia na mastarehe yake. Truth hurts, ila mwanaume umeumbiwa mateso, yajue yote ndio ufanye maamuzi sahihi ya kuoa au muachane. Nahuyo mwanamke chuki hazifichiki na maigizo yanamwisho, utaigiza kumpenda mama mkwe kila siku wakati humpendi. Sema yote, ili tujue tunatatua vipi au tuachane. Kwani mwanaume yupo mmoja duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…