Introsagvert
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 1,459
- 3,020
NB: Kwa wanaume, usije ukakiri ulitembea na mwanamke mwingine pembeni. Hata kama akikumata "red-handed" kataa tafuta sababu hata ya kijinga isiyokuwa na maana semaaa!! Yaani usikubali kabisa ulichepuka hata kama hizo habari kapewa na mama ake bishaa mpaka akikuangalia akose la kusema!!