Introsagvert
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 1,459
- 3,020
[emoji23][emoji119]Na hapo tunasema ni mmoja kwa sababu unakuta bikira haipo. Pangekuwa hamna ushahidi wa kuwepo ama kutokuwepo kwa bikra jibu lingekuwa "wewe ndio wa kwanza".
Sisi Tunachapa tu hata ukituambia Wa Kumi..!Hahahaha hapo kwenye idadi mkiulizaga jibu ni kama sheria "mwanaume mmoja na wewe ndio wapili".
Ha ha ha blah blah blah tu ila mnaoa.Sasa sista[emoji23][emoji23], umekuwa na mahusiano na ukalala na wanaume zaidi ya watatu na yote yakavunjika, yaani wewe ndio constant factor hapo, halafu ndio unataka nikuoe. [emoji23][emoji23][emoji23] to hell, wakati mimi mwenyewe tunaoitwa mbwa sijafika huko. Yaani kwa hesabu za haraka wewe ndio variable iliyopo constant katika kila mahusiano uliyoyavunja, basi ujue unashida.
Hoping is better😂😂😂, ila kwakuwa wanaume hatufanani basi kila mmoja atachukulia ndoa kwauzito wake.Ha ha ha blah blah blah tu ila mnaoa.