youngkato
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,811
- 3,888
Leo nataka nikushirikishe siri ambayo inawasaidia wajasiriamali wengi wanaouza nguo na viatu dukani..."
Kuna mtu niliwahi kumshauri, alikuwa na duka zuri sana la nguo na viatu mjini. Lakini alikuwa analalamika:
"Wapita njia ni wachache sana. Watu hawaji dukani kama zamani!"
Nikamuuliza, “Ulishawahi kufikiria duka lako kama sehemu ya kupakia mizigo tu na si lazima mtu aje dukani kununua?”
Akanitazama… “Unamaanisha nini?”
Nikamuambia, "Wateja wako wakubwa wapo online. Nenda ukawachukue!"
Kama una duka kama hili, hizi ndizo njia 9 nilizomfundisha—na zilimletea matokeo makubwa:
1. Tumia TikTok, Instagram na Facebook Live kila siku
Nikamuambia, “Wewe ukifika dukani, usikae kimya. Washa live.
Onesha nguo zako, viatu vyako, bei zake. Watu waone kila siku."
Na kama uko busy, ajiri mtu wa kusaidia.
2. Post kila siku kwenye mitandao yako ya kijamii
Ratiba ilikua hivi:
Jumanne: Elimu
Jumatano: Furaha/Behind the scenes
Alhamisi: Throwback
Ijumaa & Jumamosi: Shuhuda
Jumapili: Feedback & Testimonials
Hakikisha hakuna siku inapita bila watu kukuona.
3. Kusanya namba za wateja – kila mmoja! Hakuna kuuliza bidhaa bila kutoa namba.
Online au dukani, chukua namba – hata kama hawajanunua leo.
Kesho ukipost, wanaweza kubadilisha mawazo.
4. Post status kila siku (na zisiboe)
Hata kama ni selfie, video ukipanga mzigo, au safari yako ya asubuhi—post tu.
Lengo ni kuzoea macho ya mteja. Wakuone, wakuzoee, wakununue.
5. Lipia matangazo ya kulipia (Facebook & Instagram Ads)
Siku ukifanya offer au kusafisha duka, tengeneza tangazo.
Weka bajeti hata ya 5,000 TZS.
Watu wataingia inbox zako kama mvua.
6. Wakumbuke wateja wako!
Tuma meseji, DM, hata voice note.
Waambie kuna bidhaa mpya, offer au punguzo.
Usiogope, wengine hawakununua kwa sababu walipoteza focus.
7. Tafuta vijana wasio na kazi – wapatie mzigo wa kutembeza
Hao vijana wanakusaidia kuuza mitaani, majumbani kwa watu, maofisini.
Watu wakipewa huduma hadi mlango wa nyumba – wanahisi wamepewa heshima.
8. Fanya partnership na mawinga wa mikoani
Weka mzigo kwa watu wenye ofisi mikoani. Wateja wa mbali wakitaka kununua, waambie wanaweza kulipia kwa wakala wako. Mzigo unatoka kwako kwenda huko. Rahisi sana.
9. Weka mfumo wa malipo ya kidogo kidogo
Tumia huduma kama @SwahiliesPay
Wateja wanakopa kidogo kidogo mpaka wamalize, halafu unawatumia mzigo.
Hii inafanya bidhaa zako zifikike hata kwa wasio na hela zote papo kwa hapo.
Mwisho wa siku nilimuambia hivi:
“Ukitaka kuuza, usikae kimya. Dunia ya leo inataka kelele, ubunifu, na ujanja wa kidigitali.”
Na guess what?
Miezi michache baadaye, jamaa akaanza kutuma mizigo kila wiki—si tu kwa wapita njia, bali kwa mikoa yote ya Tanzania!
Sasa na wewe... Una duka? Unauza nguo, viatu au hata bidhaa nyingine?
Hizi njia 9 zitakufungua. Chagua moja, anza leo, halafu niambie kilichochange.